Niliposema hakikisha familia yako unaiongoza sikumaanisha familia tu ya nyumbani.
Kama wewe una mtazamo huo na una uwezo basi fungua kampuni yako fanya kazi na hao.
Nawajua watanzania kibao tu ambao wakikaa chini na wazungu au wachina kuongea biashara wachina/wazungu wananywea.
Mfano easy tu, huyu billionea anaetrend na godlove yeye ana kampuni ya silaha inauza silaha hadi ulaya ila ni mtanzania.
Hivyo anza na vilivyo vyako na vilivyo karibu na ww kwanza(your family) Ukisubiri eti uwafanyie liberation hao watanzania wenzako waliopo migodini utachelewa sana, na actually hawahitaji msaada wako, haujaona leo wamejimwagia matope na kupita mbele ya raisi na raisi anafurahi tu. Hao ni wa matopeni mzee, ukiwatoa unawaonea ukidhan unawasaidia