USAID haiwezi kufutwa kwa Executive Orders; watetezi kwenda Mahakamani kuzuia uamuzi wa Donald Trump

USAID haiwezi kufutwa kwa Executive Orders; watetezi kwenda Mahakamani kuzuia uamuzi wa Donald Trump

Niliposema hakikisha familia yako unaiongoza sikumaanisha familia tu ya nyumbani.

Kama wewe una mtazamo huo na una uwezo basi fungua kampuni yako fanya kazi na hao.

Nawajua watanzania kibao tu ambao wakikaa chini na wazungu au wachina kuongea biashara wachina/wazungu wananywea.

Mfano easy tu, huyu billionea anaetrend na godlove yeye ana kampuni ya silaha inauza silaha hadi ulaya ila ni mtanzania.

Hivyo anza na vilivyo vyako na vilivyo karibu na ww kwanza(your family) Ukisubiri eti uwafanyie liberation hao watanzania wenzako waliopo migodini utachelewa sana, na actually hawahitaji msaada wako, haujaona leo wamejimwagia matope na kupita mbele ya raisi na raisi anafurahi tu. Hao ni wa matopeni mzee, ukiwatoa unawaonea ukidhan unawasaidia
Lugumi hana uwezo wa kuuza silaha nje!! Usidanganyike. Huyo ni fisadi tu aliyekuwa katikati ya fedha haramu mwaka 2015. Alitumika tu kupitusha hela za CCM za uchaguzi naye akapewa mgawo. Ila dikteta Magufuli alizuia hizo hela, kisha alipokufa wajanja wamefungua na akalipwa.

Usije ukaumiza ubongo wako kumu admire fisadi
 
Wamarekani wanafanya vitu kwa maslahi ya nchi yao, dawa ni kujitegemea na kuacha matumizi ya anasa.
Ni kweli kabisa, Watawala karibia wote kabisa wa nchi za Afrika hawana kabisa nidhamu nzuri ya hali ya juu katika Matumizi ya Fedha za Kodi za Wananchi waliopo katika nchi zao. Watawala wengi sana ni Wezi, Mafisadi, Wafujaji Sana wa Fedha za Kodi, n.k.
Tazama msafara huu wa Kiongozi huyu wa nchi fulani hapa Afrika kisha jiulize:- Je, ni gharama kubwa kiasi gani ilitumika kwenye msafara huu wa anasa? Je, kuna ULAZIMA wowote ule wa kuwa na misafafara kama hii?Je, Wananchi wa kawaida wa nchi hiyo wanaweza kupata faida gani hasa kutokana na misafafara yenye misururu mirefu ya magari kama huu?
 

Attachments

  • 5771391-6b7300c48c43013b94b420cc6e416c60.mp4
    8.3 MB
Tayari Democrats wamefanikiwa kuweka pingamizi dhidi ya ufutwaji wa USAID

Screenshot_20250212_145901_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom