milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameshapewa siku 90 za kujipanga waangalie changamoto sehemu nyingineWale waajiriwa private wa USAOD hapa Tz huwa wanayata sana, hasa wahasibu huaa unasikia sera zetu haziruhusu kukulipia mafuta ya gari private, sera zetu haziruhusu kukulipa kiwango hicho..wataishije na zile nyodo za USAID
Na kimeumana haswa mkuu mambo si shawari tenaTukiongea ukweli huwa tunaonekana wachochezi 😃 kimeshaumana tayari
Hizi taarifa ulikuwa nazo😃Watu wa USAID wameanza kujirudi 😃 Mambo yameharibika haswa
Bila shaka kwa sasa wanameza maneno yaoKuna watu walinifuata PM wakaniita mchochezi eti naharibu mambo ya watu 😃
Akili zitatukaa sawaDalili ya mvua mawingu 😃 sasa hivi tutapeana heshima mitaani
Kuna Wana wamepiga Sana hela kwenye hiyo miradi, so sad hakuna ulaji tenaWamekosa maneno 😃 miradi isiyo na tija inakwenda kufungwa yote
Itatusaidia mengiMpaka tuseme