DOKEZO USAID ijiandae kisaikolojia chini ya Rais Trump

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kitu kizito kwenye utosi 😃 😀 😄
Ila wabongo hizi NGO wanaziunda ili kupiga pesa za wazungu tu.
Hawana huruma na wabongo wenzao.
Nikiwa mwenyekiti wa vijana kanisani alitokea muumini fulani mtu mzima kunishawishi tuandae kashirikika cha kupambana na UKIMWI tupate pesa za wazungu. Nikamwambia Mimi sifanyi hiyo dhambi . Akapoa
 
Aiseee
 
Wewe ni noma na ndivyo imekuwa
 
Trump alivyochaguliwa tu urais tuliliongelea hili CH mpaka issue ya ARV tujiandae kukatiwa misaada tuliigusia.

Serikalini sijui kama waliliona hili na kama waliliona sijui kama walijiandaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…