DOKEZO USAID ijiandae kisaikolojia chini ya Rais Trump

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
anatikisa kibriti tuuu
 
Yatatokea yaliyotokea 2016, program za kueneza ushoga, Peace Corps, n.k vitu ambavyo si hitaji halisi la US kupunguziwa ufadhili. Kuanzia 20 Jan. 2025 itakuwa wazi
Ushoga or sijui what ni siasa tuu, conservatives wanatumia hizo kutimiza malengo yao na ukiangalia vizuri hakuna pesa ya maana inahusiana na ushoga, Agenda ni moja tuu Tax cuts, na kufanikisha hilo lazima pesa ipatikane, solution ni kukata budget na kuongeza federal income, kukata USAID na tariffs ndio solutions and easy target's maana hazihitaji congressional approval, program nyingi zitakatwa tuu, lakini its ok hii misaada inatoa kazi kwa watu wengi na inasaidia , lakini ni namna ya power control , bora kujitegemea tuu
 
Sie tunaofanya kazi USAID Feed the Future KILIMO TIJA matumbo joto wakuu.

Trump tuonee huruma tuna watoto tunasomesha na wazazi wanatutegemea na ukiangalia kwenye miaka 12 ya kufanya kazi toka kipindi cha TAPP chini ya Fintrac Global, kioindi cha Mboga na Matunda hadi sasa KTA chini ya ACDI VOCA hakuna cha maana nilichofanya zaidi ya kuwa pombe tu. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hii iwe chachu ya kutuzindua kutoka usingizini,afrika kila kitu ni misaaada kutoka mataifa ya ulaya hadi mashimo ya vyoo mashuleni,hii si sawa,nadhani ni wakati umefika kwa viongozi wetu wa afrika kuwa na maoni ya mbali na kutumia raslimali zetu kujiendesha wenyewe
 
Well said mkuu
 
Nyi wa kilimo panga la Trump haliwahusu relax kunywa pombe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…