DOKEZO USAID ijiandae kisaikolojia chini ya Rais Trump

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Your browser is not able to display this video.
 
Hapa uliona mbali sana aise,Salute
 
Pole boss, Iล‚a wabongo wengi walikuwa wanafurahia Trump alivyo against na mashoga na immigrants, sasa ni zamu yetu, familia nyingi zitapoteza kipato
Chuma kinanoa chuma ๐Ÿ˜ƒ
 
Reactions: K11
Yatatokea yaliyotokea 2016, program za kueneza ushoga, Peace Corps, n.k vitu ambavyo si hitaji halisi la US kupunguziwa ufadhili. Kuanzia 20 Jan. 2025 itakuwa wazi
Uongo mtupu, USAID hakuna programs za kueneza ushoga.
 
Reactions: K11
hakika hakuna za kupromote ,zaidi ni kusaidia kukinga KVPs
Waafrika wengi ni wajinga sana yanapokuja maswala ya ushoga. Taasisi ikisema haibagui mtu wa kuajiri wanasema inasapoti ushoga, mtu usipoonyesha kubagua au kulaani mashoga wanasema unasapoti ushoga! Ajabu ni kwamba Trump kaajiri waziri wa fedha shoga na pia anaruhusu na kupokea pesa za mashoga wanaofanya harusi katika hoteli zake ila bado wanasema anapinga ushoga!
 
Scott Bessent

Huyu kaolewa na Mwanaume kabisa na ni campaingn manager wa trump alikuwa na sahizi ni secretary of treasury
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ