USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

Hakutakuwa na ArVs za bure tena huko mbele ya safari

Kuna hatari maambukizi mapya ya HIV kushamiri miongoni mwa Watanzania

Hii itapelekea Serikali kutumia gharama kubwa kuyanunua hayo madawa, otherwise tutarajie ule Ukimwi aliouimba Ferouz kwenye nyimbo ya "Starehe" kurudi tena Mtaani
Figo na Ini zinashangilia tu muda huu, niulize kwanini..
 
D.Trump wants to help Amerika, cha ajabu tanzagiza ambapo >50% ya fedha ni msaada ndiyo inaongoza kwa kuchezea fedha, raisi ikulu 3, magari kila siku land cruiser mpya, USA inabana matumizi kusaidia wananchi, tanzagiza shopping kwa kwenda mbele …
 
Ndipo tutakapoelekea.

Wenzetu hapo Zambia Kuna assets zao wame surrender Kwa Wachina kutokana na madeni makubwa ya Nchi

Mungu atusaidie tusifike huko, ila sio jambo zuri sana Nchi kuendeshwa Kwa Mikopo na misaada
Sasa ukikaa kwa kutulia unaona kweli Zambia ni ya kuwa na madeni lukuki wakati wana shaba kama utitiri?
 
Back
Top Bottom