Laizer Peter
Senior Member
- Feb 19, 2013
- 130
- 24
Habari Zenu Wana JF.
Kwa Wale Walioisoma Hii KATIBA PENDEKEZWA Na Wakaelewa Kabisa Tunaomba UCHAMBUZI Japo Kidogo Kwanzia Sehemu Ya Kwanza Na Sura Zake Hadi Sehemu ya Mwisho
Please Alielewa Zaidi Atupatie SHORT SUMMARY Maana Hata Darasani Kuna Wanaoelewa Kidogo Na Wengine Zaidi.
Nawasilisha
Safi sana kijana, ni jambo la busara kusaidiana kuelimishana kuhusu Katiba Inayopendekezwa.
Naomba Uchambuzi kwa uelewa wako Ambatanisha Na Ibara ili inisaidie Kuelewa zaidi
Kuhusu suala gani hilo kaka, nambie nkuchambulie na kuweka Ibara.
Sehemu Zote Nyeti Nyeti Ndani Ya KATIBA
thanks
habari zenu wana jf.
Kwa wale walioisoma hii katiba pendekezwa na wakaelewa kabisa tunaomba uchambuzi japo kidogo kwanzia sehemu ya kwanza na sura zake hadi sehemu ya mwisho
please alielewa zaidi atupatie short summary maana hata darasani kuna wanaoelewa kidogo na wengine zaidi.
Mwasi mwakenda na wengine (usaidizi wenu plz)
nawasilisha
WEWE SI MGENI HUKUWA ACTIVE TU...Join Date : 19th February 2013Me Mgeni Humu Mnipokee Jamani!
[h=3]Katiba[/h] Started by Laizer Peter, 30th March 2015 09:12Shikamoooo kaaatiba!
HAPANA
[h=3]Imani Na Uhuru Wa Dini[/h] Started by Laizer Peter, 31st March 2015 11:51Katiba Yenyewe Imezidi Kutunyonga Sisi Wa Chini.
duh! ama kweli aliyenayo ataongezewa na asiekuanacho atanyang'anywa alichonacho ataongezewa yule mwenye nacho.
KURA YANGU NI YA Hapana
Habari Zenu Wana Jf Wote!!
Mimi Binafsi Nimesoma KATIBA PENDEKEZWA Hadi Mwisho Na Nimezielewa Baadhi Ya Ibara Na Vipengele Vyake.
ILA. Kiukweli Bila Kuirudia Kuisoma Tena Kwa Makini Zaidi Hakika Huwezi Elewa Kilichoandikwa Humo Na Hii Ndo Inasababisha Kutoelewana Humu Coz Kuna Wengne Wameisoma Wakaielewa Na Kuichambua PIA Kuna Wengne Wameisoma rafu rafu ndo Maana Wanakua Wagumu Kuelewa Humu Na Kusema KATIBA Haifai.
USHAURI
Ewe MTANZANIA Nakushauri Uisome KATIBA PENDEKEZWA Kwa Umakini Zaidi Na Uache BANGI Wakati Wa Kuisoma KATIBA Yenyewe.
Ni Haki Yako Kuisoma Ili UTAKAPOIKUBALI Baadae Ujue UMEIKUBALI KWA MISINGI IPI au UTAKAPOIKATAA Ujue UMEIKATAA Kwa MISINGI IPI.
Usiwe Kama Bendera Fata Upepo.
Na Sio Kwa Sababu Umesikia WACHUNGAJI Wanaipinga Basi Wewe Humo Humo Ukiulizwa Sababu Hata Hujui.
wachungaji Ni watu kama wewe tu USIKUBALI Kuwa Kama BENDERA.
PENDEKEZO :-
Me Napendekeza Kwamba Kwa Sababu Humu Najua Tuko Watu Wa Aina Tofauti Na Walioilewa Hii KATIBA PENDEKEZWA Kwa UFASAHA Ningeomba Japo Kila Siku Tuijadili Japo SURA MOJA AMA MBILI NDANI YA KATIBA,Na Hii Itasaidia Kupunguza Ubishi Usiokua Na Maana Humu Coz Mtu Akileta Anapewa IBARA
NOTE: iisome katiba then take your own DECISION.
Nawasilisha.
hapa nachoona ni maigizo ya kujifanya huifahamu,umeisoma mpaka kuilewa...
hapa nachoona ni maigizo ya kujifanya huifahamu,umeisoma mpaka kuilewa...
Tyta a.k.a Tetty wewe daima ni mkorofi kwanini usibadilike wewe kijana? sasa ndo majibu gani hayoi ulomwandikia huyo Laizer hapo juu? sio kujifanya suala kila mtu yuko huru kuweka hoja zake hata wewe hushikwi kuweka hoja humu ndani, ebu kuwa mstaarabu.
Misingi ya Utawala Bora (Ibara ya 6)
Mara kadhaa tumesikia kilio cha wananchi wa ngazi zote wakitaka nchi yetu iwe imara na madhubuti katika kuweka na kuzingatia utawala bora.
Katiba Inayopendekezwa katika IBARA YA 6 inaiweka wazi misingi ya utawala bora kama masharti ya kufuatwa na viongozi na watumishi wa umma.
Kuiweka misingi hii katika ibara ya 6 (na siyo ibara ya 5 inayohusu tunu za taifa) ni kuifanya iwe kipimo cha utendaji na utumishi wa umma. Huu utakuwa ni wajibu na si hiyari ya mtumishi wa umma kuamua kama anaienzi misingi hiyo au la, tofauti na kama ambavyo angeweza kuzienzi tunu zilizomo kwenye ibara ya 5, lakini zisingeweza kuchukuliwa kama kigezo cha kupima uwajibikaji na utendaji wake kwa umma endapo atashindwa kuizingatia.
Ebu jaribu kuangali hii kwani inaoenekana kuwa ilivutia watu wengi kuijadili.
tyta the way nilivyoelewa mm ni tofauti na the way ulivyoelewa wewe .....
Hivyo nia yangu ni kuwasaidia wana jf wote kama wewe ambaye hata hoja yenyewe hujaielewa itakuaje kwa katiba?
hapa tu haelewi itakuaje kwa katiba!?
ahsante kwa hili
hapa nachoona ni maigizo ya kujifanya huifahamu,umeisoma mpaka kuilewa...
hapa nachoona ni maigizo ya kujifanya huifahamu,umeisoma mpaka kuilewa...
Hodi Humu Ndani
Started by Laizer Peter, 30th March 2015 07:55
WEWE SI MGENI HUKUWA ACTIVE TU...Join Date : 19th February 2013
ULICHOFANYA NI KUJA NA ID YAKO YA ZAMANI NA KULETA MAIGIZO.
Katiba kitu gani
Started by Laizer Peter, 30th March 2015 08:18
Katiba
Started by Laizer Peter, 30th March 2015 09:12
Imani Na Uhuru Wa Dini
Started by Laizer Peter, 31st March 2015 11:51
News Alert: Uchambuzi
Started by Laizer Peter, Yesterday 15:01
daima mmeja maigizo kuanzia viongozi wenu mpaka ninyi wafuasi uchwara.....
Hayo yote uloweka kama ushahidi wala hayana mashiko kwasabu mwenzio kaisoma kaielewa na sasa kabadilika, hivyo na wewe ifike hatua uwe kama yeye. Zaliwa mara ya pili.
Tyta The way nilivyoelewa mm ni tofauti na the way ulivyoelewa wewe .....
hivyo nia yangu ni kuwasaidia wana JF wote kama wewe ambaye hata HOJA yenyewe hujaielewa itakuaje kwa KATIBA?
Mie kwangu ni ushauri tu ili niwaelewe,Tyta unafahamu mambo kibao kwa nini usiyalete hapa tukayaona kuliko kulaumu.
daima mmeja maigizo kuanzia viongozi wenu mpaka ninyi wafuasi uchwara.....
ENYI WATU MLIOJIUNGA MWEZI MARCH MWAKA HUU KUTETEA RASIMU YA JOKA LA MAKENGEZA.KUNA MAWILI HAPA
- MMEJIUNGA JF KUJA KUPIGIA DEBE RASIMU YA CHENGE PASIPO HATA KUPITIA NYUZI KIBAO AMBAZO ZIMESHAJADILIWA NA KUTOLEWA UFAFANUZI WA MADHAIFU NA MABORESHO YA RASIMU ZOTE MBILI(YA CHENGE NA YA WANACHI)..kAMA KWELI MNGEKUWA MNAZIPITIA MNGEFAHAMU KWANINI HAMNA JIPYA KATIKA KUTETEA RASIMU HOVYO.KAMAKWELI NI WAGENI HUMU,BASI HAMTAKI KUSHUGHULISHA AKILI ZENU KUONA MANGAPI WANANCHI WALIYOYATAKA YAKATUPILIWA MBALI.HAKUNA KIPYA CHA KUJADILI.NACHOONA NI MASLAHI TU YA WATU WACHACHE
- KAMA KWELI NINYI SI WAGENI HUMU NA MMEPITIA JUKWAA LA KATIBA NA KUSOMA HOJA ZA MSINGI ZA KUUKATAA RASIMU YA CHENGE,BASI NI KUCHUMIA TUMBO NDIO MAANA MNAKUJA NA ID MPYA ZA KUPIGIA DEBE...