Usaidizi

Usaidizi

Laizer Peter

Senior Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
130
Reaction score
24
Habari Zenu Wana JF.

Kwa Wale Walioisoma Hii KATIBA PENDEKEZWA Na Wakaelewa Kabisa Tunaomba UCHAMBUZI Japo Kidogo Kwanzia Sehemu Ya Kwanza Na Sura Zake Hadi Sehemu ya Mwisho

Please Alielewa Zaidi Atupatie SHORT SUMMARY Maana Hata Darasani Kuna Wanaoelewa Kidogo Na Wengine Zaidi.

MWASI MWAKENDA NA WENGINE (Usaidizi wenu plz)

Nawasilisha
 
Habari Zenu Wana JF.

Kwa Wale Walioisoma Hii KATIBA PENDEKEZWA Na Wakaelewa Kabisa Tunaomba UCHAMBUZI Japo Kidogo Kwanzia Sehemu Ya Kwanza Na Sura Zake Hadi Sehemu ya Mwisho

Please Alielewa Zaidi Atupatie SHORT SUMMARY Maana Hata Darasani Kuna Wanaoelewa Kidogo Na Wengine Zaidi.

Nawasilisha

Safi sana kijana, ni jambo la busara kusaidiana kuelimishana kuhusu Katiba Inayopendekezwa.
 
Sehemu Zote Nyeti Nyeti Ndani Ya KATIBA

thanks

Misingi ya Utawala Bora (Ibara ya 6)

Mara kadhaa tumesikia kilio cha wananchi wa ngazi zote wakitaka nchi yetu iwe imara na madhubuti katika kuweka na kuzingatia utawala bora.

Katiba Inayopendekezwa katika IBARA YA 6 inaiweka wazi misingi ya utawala bora kama masharti ya kufuatwa na viongozi na watumishi wa umma.

Kuiweka misingi hii katika ibara ya 6 (na siyo ibara ya 5 inayohusu tunu za taifa) ni kuifanya iwe kipimo cha utendaji na utumishi wa umma. Huu utakuwa ni wajibu na si hiyari ya mtumishi wa umma kuamua kama anaienzi misingi hiyo au la, tofauti na kama ambavyo angeweza kuzienzi tunu zilizomo kwenye ibara ya 5, lakini zisingeweza kuchukuliwa kama kigezo cha kupima uwajibikaji na utendaji wake kwa umma endapo atashindwa kuizingatia.
Ebu jaribu kuangali hii kwani inaoenekana kuwa ilivutia watu wengi kuijadili.
 
habari zenu wana jf.

Kwa wale walioisoma hii katiba pendekezwa na wakaelewa kabisa tunaomba uchambuzi japo kidogo kwanzia sehemu ya kwanza na sura zake hadi sehemu ya mwisho

please alielewa zaidi atupatie short summary maana hata darasani kuna wanaoelewa kidogo na wengine zaidi.

Mwasi mwakenda na wengine (usaidizi wenu plz)

nawasilisha

hapa nachoona ni maigizo ya kujifanya huifahamu,umeisoma mpaka kuilewa...
[h=3]Hodi Humu Ndani[/h] Started by Laizer Peter, 30th March 2015 07:55
Me Mgeni Humu Mnipokee Jamani!
WEWE SI MGENI HUKUWA ACTIVE TU...Join Date : 19th February 2013
ULICHOFANYA NI KUJA NA ID YAKO YA ZAMANI NA KULETA MAIGIZO.
[h=3]Katiba kitu gani[/h] Started by Laizer Peter, 30th March 2015 08:18
Shikamoooo kaaatiba!
HAPANA
[h=3]Katiba[/h] Started by Laizer Peter, 30th March 2015 09:12
Katiba Yenyewe Imezidi Kutunyonga Sisi Wa Chini.

duh! ama kweli aliyenayo ataongezewa na asiekuanacho atanyang'anywa alichonacho ataongezewa yule mwenye nacho.

KURA YANGU NI YA Hapana
[h=3]Imani Na Uhuru Wa Dini[/h] Started by Laizer Peter, 31st March 2015 11:51
[h=3]News Alert: Uchambuzi[/h] Started by Laizer Peter, Yesterday 15:01

Habari Zenu Wana Jf Wote!!

Mimi Binafsi Nimesoma KATIBA PENDEKEZWA Hadi Mwisho Na Nimezielewa Baadhi Ya Ibara Na Vipengele Vyake.

ILA. Kiukweli Bila Kuirudia Kuisoma Tena Kwa Makini Zaidi Hakika Huwezi Elewa Kilichoandikwa Humo Na Hii Ndo Inasababisha Kutoelewana Humu Coz Kuna Wengne Wameisoma Wakaielewa Na Kuichambua PIA Kuna Wengne Wameisoma rafu rafu ndo Maana Wanakua Wagumu Kuelewa Humu Na Kusema KATIBA Haifai.

USHAURI

Ewe MTANZANIA Nakushauri Uisome KATIBA PENDEKEZWA Kwa Umakini Zaidi Na Uache BANGI Wakati Wa Kuisoma KATIBA Yenyewe.
Ni Haki Yako Kuisoma Ili UTAKAPOIKUBALI Baadae Ujue UMEIKUBALI KWA MISINGI IPI au UTAKAPOIKATAA Ujue UMEIKATAA Kwa MISINGI IPI.
Usiwe Kama Bendera Fata Upepo.

Na Sio Kwa Sababu Umesikia WACHUNGAJI Wanaipinga Basi Wewe Humo Humo Ukiulizwa Sababu Hata Hujui.
wachungaji Ni watu kama wewe tu USIKUBALI Kuwa Kama BENDERA.

PENDEKEZO :-

Me Napendekeza Kwamba Kwa Sababu Humu Najua Tuko Watu Wa Aina Tofauti Na Walioilewa Hii KATIBA PENDEKEZWA Kwa UFASAHA Ningeomba Japo Kila Siku Tuijadili Japo SURA MOJA AMA MBILI NDANI YA KATIBA,Na Hii Itasaidia Kupunguza Ubishi Usiokua Na Maana Humu Coz Mtu Akileta Anapewa IBARA

NOTE: iisome katiba then take your own DECISION.

Nawasilisha.
 
hapa nachoona ni maigizo ya kujifanya huifahamu,umeisoma mpaka kuilewa...

Tyta a.k.a Tetty wewe daima ni mkorofi kwanini usibadilike wewe kijana? sasa ndo majibu gani hayoi ulomwandikia huyo Laizer hapo juu? sio kujifanya suala kila mtu yuko huru kuweka hoja zake hata wewe hushikwi kuweka hoja humu ndani, ebu kuwa mstaarabu.
 
hapa nachoona ni maigizo ya kujifanya huifahamu,umeisoma mpaka kuilewa...

Tyta The way nilivyoelewa mm ni tofauti na the way ulivyoelewa wewe .....

hivyo nia yangu ni kuwasaidia wana JF wote kama wewe ambaye hata HOJA yenyewe hujaielewa itakuaje kwa KATIBA?
 
Hapa tu haelewi itakuaje kwa katiba!?
 
Misingi ya Utawala Bora (Ibara ya 6)

Mara kadhaa tumesikia kilio cha wananchi wa ngazi zote wakitaka nchi yetu iwe imara na madhubuti katika kuweka na kuzingatia utawala bora.

Katiba Inayopendekezwa katika IBARA YA 6 inaiweka wazi misingi ya utawala bora kama masharti ya kufuatwa na viongozi na watumishi wa umma.

Kuiweka misingi hii katika ibara ya 6 (na siyo ibara ya 5 inayohusu tunu za taifa) ni kuifanya iwe kipimo cha utendaji na utumishi wa umma. Huu utakuwa ni wajibu na si hiyari ya mtumishi wa umma kuamua kama anaienzi misingi hiyo au la, tofauti na kama ambavyo angeweza kuzienzi tunu zilizomo kwenye ibara ya 5, lakini zisingeweza kuchukuliwa kama kigezo cha kupima uwajibikaji na utendaji wake kwa umma endapo atashindwa kuizingatia.
Ebu jaribu kuangali hii kwani inaoenekana kuwa ilivutia watu wengi kuijadili.

Ahsante kwa hili
 
hapa nachoona ni maigizo ya kujifanya huifahamu,umeisoma mpaka kuilewa...

Tyta ndugu yangu kushindana kwa hoja kunaruhusiwa,hapa ninachokiona kutoka kwako wewe ndio unafanya maigizo na hujaelewa,ungekuwa umeelewa ungetupa data unazojua kuhusu ibara zilizokwisha kuwasilishwa.
 
hapa nachoona ni maigizo ya kujifanya huifahamu,umeisoma mpaka kuilewa...
Hodi Humu Ndani

Started by Laizer Peter, 30th March 2015 07:55

WEWE SI MGENI HUKUWA ACTIVE TU...Join Date : 19th February 2013
ULICHOFANYA NI KUJA NA ID YAKO YA ZAMANI NA KULETA MAIGIZO.
Katiba kitu gani

Started by Laizer Peter, 30th March 2015 08:18

Katiba

Started by Laizer Peter, 30th March 2015 09:12

Imani Na Uhuru Wa Dini

Started by Laizer Peter, 31st March 2015 11:51
News Alert: Uchambuzi

Started by Laizer Peter, Yesterday 15:01

Hayo yote uloweka kama ushahidi wala hayana mashiko kwasabu mwenzio kaisoma kaielewa na sasa kabadilika, hivyo na wewe ifike hatua uwe kama yeye. Zaliwa mara ya pili.
 
Hayo yote uloweka kama ushahidi wala hayana mashiko kwasabu mwenzio kaisoma kaielewa na sasa kabadilika, hivyo na wewe ifike hatua uwe kama yeye. Zaliwa mara ya pili.

Kama hajaelewa HOJA basi arejee topic
 
Tyta The way nilivyoelewa mm ni tofauti na the way ulivyoelewa wewe .....

hivyo nia yangu ni kuwasaidia wana JF wote kama wewe ambaye hata HOJA yenyewe hujaielewa itakuaje kwa KATIBA?

Hahahahahaha mpe vidonge huyo aelewe maana watu wamemwambia weee mgumu kuelewa na anajifanya kuwa mjuaji lakini kumbe hata hoja zaielew, nahic anapoteza muda tu humu ndani na ukweli anaujua na watu wanataka kusiadiana kuelimishana na sio kubisha bisha tu.
 
Mie kwangu ni ushauri tu ili niwaelewe,Tyta unafahamu mambo kibao kwa nini usiyalete hapa tukayaona kuliko kulaumu.

ENYI WATU MLIOJIUNGA MWEZI MARCH MWAKA HUU KUTETEA RASIMU YA JOKA LA MAKENGEZA.KUNA MAWILI HAPA
  1. MMEJIUNGA JF KUJA KUPIGIA DEBE RASIMU YA CHENGE PASIPO HATA KUPITIA NYUZI KIBAO AMBAZO ZIMESHAJADILIWA NA KUTOLEWA UFAFANUZI WA MADHAIFU NA MABORESHO YA RASIMU ZOTE MBILI(YA CHENGE NA YA WANACHI)..kAMA KWELI MNGEKUWA MNAZIPITIA MNGEFAHAMU KWANINI HAMNA JIPYA KATIKA KUTETEA RASIMU HOVYO.KAMAKWELI NI WAGENI HUMU,BASI HAMTAKI KUSHUGHULISHA AKILI ZENU KUONA MANGAPI WANANCHI WALIYOYATAKA YAKATUPILIWA MBALI.HAKUNA KIPYA CHA KUJADILI.NACHOONA NI MASLAHI TU YA WATU WACHACHE
  2. KAMA KWELI NINYI SI WAGENI HUMU NA MMEPITIA JUKWAA LA KATIBA NA KUSOMA HOJA ZA MSINGI ZA KUUKATAA RASIMU YA CHENGE,BASI NI KUCHUMIA TUMBO NDIO MAANA MNAKUJA NA ID MPYA ZA KUPIGIA DEBE...
 
HUKO NDO KUISHIWA HOJA WEWE, WEKA HOJA SIO MAKELELE, WEWE ULIJIUNGA ZAMANI MBONA AKILI ZAKO NI ZERO? BADALA YA KUWEKA HOJA WEWE UNALAUMU, YAWEKE HAYO MAMBO YALIYOTOLEWA ILI WANA JF WAKUJIBU KWA HOJA SIO KULALAMA ETI MAMBO YA WANANCHI YAMETOLEWA, SASA WATU WATAOTA MAMBO GANI? YAWEKE WATU WAYAONE NA WAKUPE VIFUNGU, WEWE UTAKUWA UMETUMWA NDO MANA UNAPINGA KITU BILA HOJA. POLE SANA hahahahaha!!
 
Back
Top Bottom