Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
MARCH MADNESS MEMBERS SO FAR KATIKA UZI HUU...
bmbalamwezi-Join Date : 12th March 2015
RAPTOR 22-Join Date : 31st March 2015
USIEMPENDA KAJA-Join Date : 14th March 2015
unatumia id mbili wewe mbona ubishii hilo?? Id zako ni hizi tyta na tetty kataaaa?!!!
achana na id mbili hizo baki na moja tukuelewe, chagua kati ya tetty au tyta ili tukujue sio kuweka matapishi yako humu ndani.
Tyta umeamka na sura zako mbili kama popo. Wewe unawaona wenzako kama wachumia tumbo wewe ni mchumia nini. Acha upopo wako mara tetty mara tyta mwishowe utakuwa keki ili uanze kuliwa kweny birthdays na harusi. Ulianza vizuri lakini sasa hoja umeishiwa umebaki na haja. Halafu acha uvivu soma Katiba na uielewe. Tyta mchumia mdomo mwenye domokrasia badala ya demokrasia:A S 20::lol:upuuzi wa mganga njaa...haya endelea kuchumia tumbo....na rasimu yenu mnayoiharakisha....funika kombe mwanaramu apite....ndio michezo yenu chama chakavu
na mtaumbuliwa mpaka mpotee...fungueni id mpya kila siku kutetea upuuzi wa wachache..
Tyta umekwisha, jiunge nami ili uweze kuambulia uzalendo wangu. Mtu mmoja akasema "If you can't defeat them join them" You are most welcome to join us because you can't defeat us in any way. Ningekuwa nafaehamu kiswahili vizuri ningesema wewe ni kinda sasa kwa sababu kiswahili yangu sio mzuri nasema wewe ni kifaranga kwa hoja.daima mmeja maigizo kuanzia viongozi wenu mpaka ninyi wafuasi uchwara.....
Tyta umekwisha, jiunge nami ili uweze kuambulia uzalendo wangu.
...the most ridiculous justification in modern times...you need to be a complete dimwit to utter this.... Mtu mmoja akasema "If you can't defeat them join them" You are most welcome to join us because you can't defeat us in any way.
Ningekuwa nafaehamu kiswahili vizuri ningesema wewe ni kinda sasa kwa sababu kiswahili yangu sio mzuri nasema wewe ni kifaranga kwa hoja.
kamwe sitajiunga na wachumia tumbo..
...the most ridiculous justification in modern times...you need to be a complete dimwit to utter this...
justify it in your vernacular if thats the case...
delete tyta or tetty so that people will recognize who you are, stop jumping like a popcorn on the frying pan!!
Mr. Tyta even if I justify in vernacular it won't help you because I am sure you don't understand even my vernacular because you too parochial Bwana tyta! The fact is Tyta you are so fallacious thus it will be so difficult for you to argue with me. Tyta or Tetty +Keki or Ketty don't sell your ignorance.kamwe sitajiunga na wachumia tumbo..
...the most ridiculous justification in modern times...you need to be a complete dimwit to utter this...
justify it in your vernacular if thats the case...
View attachment 239851TOKA NJEEEE HUFAI WEWE UNA MULTI-IDs UMETUMWAA WEWEEEE!!
just like a doc reading his own chart,you should self examine...seems highly intoxicated...
Mr. Tyta even if I justify in vernacular it won't help you because I am sure you don't understand even my vernacular because you too parochial Bwana tyta! The fact is Tyta you are so fallacious thus it will be so difficult for you to argue with me. Tyta or Tetty +Keki or Ketty don't sell your ignorance.
Utaongea hadi lugha za majini hapa hapakiufai punguza IDs hizooooo. hahahahah
View attachment 239853
an emergency need for an anti virus in your brain...because all you speak is 3languages,Kiswahili,spupidity and real %#it..
hahhahahahahahah...njaa mbaya sana...dogo una siku mbili...unatema ugoro wa ajabu.....tumia tu id yako ya zamani...
just like a doc reading his own chart,you should self examine...seems highly intoxicated...
View attachment 239855Get out of JF PLZZZZZ!! You are disqualified.
TETTY ona unachokifanya humu nilitegemea unatuletea hoja wewe unakalia kuweka jumbe za wenzio hii ina maana gani?
TETTY ushauri wangu na hao wenzako ni mdogo tu kwani msiheshimiane?hivi Mkibishana kwa hoja hamwezi fika?why this?