Usaidizi

Usaidizi

unatumia id mbili wewe mbona ubishii hilo?? Id zako ni hizi tyta na tetty kataaaa?!!!

achana na id mbili hizo baki na moja tukuelewe, chagua kati ya tetty au tyta ili tukujue sio kuweka matapishi yako humu ndani.

na mtaumbuliwa mpaka mpotee...fungueni id mpya kila siku kutetea upuuzi wa wachache..
 
upuuzi wa mganga njaa...haya endelea kuchumia tumbo....na rasimu yenu mnayoiharakisha....funika kombe mwanaramu apite....ndio michezo yenu chama chakavu
Tyta umeamka na sura zako mbili kama popo. Wewe unawaona wenzako kama wachumia tumbo wewe ni mchumia nini. Acha upopo wako mara tetty mara tyta mwishowe utakuwa keki ili uanze kuliwa kweny birthdays na harusi. Ulianza vizuri lakini sasa hoja umeishiwa umebaki na haja. Halafu acha uvivu soma Katiba na uielewe. Tyta mchumia mdomo mwenye domokrasia badala ya demokrasia:A S 20::lol:
 
na mtaumbuliwa mpaka mpotee...fungueni id mpya kila siku kutetea upuuzi wa wachache..

delete tyta or tetty so that people will recognize who you are, stop jumping like a popcorn on the frying pan!!
 
daima mmeja maigizo kuanzia viongozi wenu mpaka ninyi wafuasi uchwara.....
Tyta umekwisha, jiunge nami ili uweze kuambulia uzalendo wangu. Mtu mmoja akasema "If you can't defeat them join them" You are most welcome to join us because you can't defeat us in any way. Ningekuwa nafaehamu kiswahili vizuri ningesema wewe ni kinda sasa kwa sababu kiswahili yangu sio mzuri nasema wewe ni kifaranga kwa hoja.
 
Tyta umekwisha, jiunge nami ili uweze kuambulia uzalendo wangu.

kamwe sitajiunga na wachumia tumbo..

. Mtu mmoja akasema "If you can't defeat them join them" You are most welcome to join us because you can't defeat us in any way.
...the most ridiculous justification in modern times...you need to be a complete dimwit to utter this...

Ningekuwa nafaehamu kiswahili vizuri ningesema wewe ni kinda sasa kwa sababu kiswahili yangu sio mzuri nasema wewe ni kifaranga kwa hoja.

justify it in your vernacular if thats the case...
 
delete tyta or tetty so that people will recognize who you are, stop jumping like a popcorn on the frying pan!!

just like a doc reading his own chart,you should self examine...seems highly intoxicated...
 
kamwe sitajiunga na wachumia tumbo..

...the most ridiculous justification in modern times...you need to be a complete dimwit to utter this...

justify it in your vernacular if thats the case...
Mr. Tyta even if I justify in vernacular it won't help you because I am sure you don't understand even my vernacular because you too parochial Bwana tyta! The fact is Tyta you are so fallacious thus it will be so difficult for you to argue with me. Tyta or Tetty +Keki or Ketty don't sell your ignorance.
 
seems undone to feel your brain with some common sense knowledge..
 
TETTY ona unachokifanya humu nilitegemea unatuletea hoja wewe unakalia kuweka jumbe za wenzio hii ina maana gani?

imagepng
 
hahhahahahahahah...njaa mbaya sana...dogo una siku mbili...unatema ugoro wa ajabu.....tumia tu id yako ya zamani...

TETTY ushauri wangu na hao wenzako ni mdogo tu kwani msiheshimiane?hivi Mkibishana kwa hoja hamwezi fika?why this?
 
TETTY ona unachokifanya humu nilitegemea unatuletea hoja wewe unakalia kuweka jumbe za wenzio hii ina maana gani?

imagepng

TETTY ushauri wangu na hao wenzako ni mdogo tu kwani msiheshimiane?hivi Mkibishana kwa hoja hamwezi fika?why this?

Wachumia tumbo wote mlipoteza heshima mlipokubali kutumika kama. Vibaraka.it has nothing to do with me..
 
Back
Top Bottom