Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,528
unalo hilo we ikuume tuu, utawaza sana mpaka upasuke kichwa, jinyonge sasa kama inakuuma.
huko ndo kuishiwa hoja wewe, weka hoja sio makelele, wewe ulijiunga zamani mbona akili zako ni zero? Badala ya kuweka hoja wewe unalaumu, yaweke hayo mambo yaliyotolewa ili wana jf wakujibu kwa hoja sio kulalama eti mambo ya wananchi yametolewa, sasa watu wataota mambo gani? Yaweke watu wayaone na wakupe vifungu, wewe utakuwa umetumwa ndo mana unapinga kitu bila hoja. Pole sana hahahahaha!!
upuuzi wa mganga njaa...haya endelea kuchumia tumbo....na rasimu yenu mnayoiharakisha....funika kombe mwanaramu apite....ndio michezo yenu chama chakavu