Usaidizi

Usaidizi

Kweli wewe ni mwanafunzi mzuri. Hiyo summary utapata ili uwasaidie na wengine. Kweli kwa waliowengi kusoma document lote inawawia vigumu. Kura yako ya Ndiyo naona inakuja kwa Katiba inayopendekezwa. Karibu sana ngoja utafutiwe nondo ili jengo lako liwe imara.:juggle:

Ahsante
 
Wachumia tumbo wote mlipoteza heshima mlipokubali kutumika kama. Vibaraka.it has nothing to do with me..

Usitegemee kutoka kwangu kwamba hata siku moja nitaingia kwenye mgogoro na wewe au kukutukana, siwezi fanya hivyo na sina muda huo maana heshima ni kitu kidogo sana, na kwa jinsi navyokuona unastahili kuondolewa humu kwa lugha zako za matusi.
 
A rookie would never open her mouth and say to a veteran such pathetic out of rythm words...

Tetty huna aifa za kuendelea kuchangia JF huna hoja huwezi kuendelea kujaza picha zisizoeleweka afu ukiulizwa unatukana matuzi na lugha za kuudhi hutufai humu ndani.
 
Tetty huna aifa za kuendelea kuchangia JF huna hoja huwezi kuendelea kujaza picha zisizoeleweka afu ukiulizwa unatukana matuzi na lugha za kuudhi hutufai humu ndani.

This typical gibberish from out of mind money monger...mchumia tumbo mwenzako ajiitaye RAPTOR22 picha zake ndio kwako za maana..na Id zenu za msimu..
 
Last edited by a moderator:
TETTY ona unachokifanya humu nilitegemea unatuletea hoja....

Usitegemee kutoka kwangu kwamba hata siku moja nitaingia kwenye mgogoro na wewe au kukutukana, siwezi fanya hivyo na sina muda huo maana heshima ni kitu kidogo sana, na kwa jinsi navyokuona unastahili kuondolewa humu kwa lugha zako za matusi.
Ndio maana mtapata laana za unafiki..smartass wanna be..wewe kuniita Tetty umeona ni heshima.??back to topic..muache kupigia debe upuuzi..wananchi wamechoka na tawala kandamizi mnazozilamba miguu kila uchao..mnafiki mkubwa..
 
NO EXIT Kila kona ni Dozi tuu mpaka ukome na ufute hizo IDs nyingi unazomiliki.
View attachment 239875
 
..HAHAH..H...RASIMU YA CHENGE KUSHNEY WACHUMIA TUMBo...

Chenge hana Katiba wewe acha kulewa Viroba na Gongo hayo ndo madhara uyapatayo mchana kweupeee, unajitahidi kubadilisha IDs mara TETTY mara TYTA lakini huwezi kitu, pumzika humu hutakiwi wewe cockroach traitor.
 
ENYI WATU MLIOJIUNGA MWEZI MARCH MWAKA HUU KUTETEA RASIMU YA JOKA LA MAKENGEZA.KUNA MAWILI HAPA
  1. MMEJIUNGA JF KUJA KUPIGIA DEBE RASIMU YA CHENGE PASIPO HATA KUPITIA NYUZI KIBAO AMBAZO ZIMESHAJADILIWA NA KUTOLEWA UFAFANUZI WA MADHAIFU NA MABORESHO YA RASIMU ZOTE MBILI(YA CHENGE NA YA WANACHI)..kAMA KWELI MNGEKUWA MNAZIPITIA MNGEFAHAMU KWANINI HAMNA JIPYA KATIKA KUTETEA RASIMU HOVYO.KAMAKWELI NI WAGENI HUMU,BASI HAMTAKI KUSHUGHULISHA AKILI ZENU KUONA MANGAPI WANANCHI WALIYOYATAKA YAKATUPILIWA MBALI.HAKUNA KIPYA CHA KUJADILI.NACHOONA NI MASLAHI TU YA WATU WACHACHE
  2. KAMA KWELI NINYI SI WAGENI HUMU NA MMEPITIA JUKWAA LA KATIBA NA KUSOMA HOJA ZA MSINGI ZA KUUKATAA RASIMU YA CHENGE,BASI NI KUCHUMIA TUMBO NDIO MAANA MNAKUJA NA ID MPYA ZA KUPIGIA DEBE...

Watu jamii yako ndani ya nchi hawakosi,kelele zako si bure umetumwa na Freemanson wewe haiwezekani,kazi yako ni kuvuruga michango ya wenzio na kama unajitambua stop be Freemanson agent inside JF
 
toon.jpg
 
Hawa ndio wachonganishi wanaochezea karama zao walizopewa na mungu kuleta misuguano ndani ya jamii...jambo ambalo hata mbele za mungu ni kosa...katembo usanii ni zaidi ya unavyofikiri nenda kasome ethics za drawing...
 
Back
Top Bottom