Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muongo..... majina yametoka leo na wanaanza kufanya usaili dodoma kwa awamu kuanzia tarehe 11 mpaka 19 mwezi huuZima moto wapo kambini mda
Nenda kaangalie kny official insta page yaoTupostie
MuongoNenda kaangalie kny official insta page yao
Jaman inamaana ww haujaona majina ya usaili ta zimamoto na uokoaji?Muongo
usaili zima moto
View attachment 2897964
Haya aliyeniita muongo aje ajioneeusaili zima moto
View attachment 2897964
Naona bado bila bila.lkn upande wa uhamiaji majina badoo
Amebadilisha jina 😄😄😄Huyo @chenjon wenu wamemlamba ban kisa uongo wake.
Ndo bado Hadi leo auBado sana ndo marina yanachakatwa
Mbona wanakawia hawa tunataka tujijue km tumo au hatumoNdo bado Hadi leo au
Kisaikolojia ushajiandaa Hadi unatokwa na akiliSoon msiwe na haraka majina yatatoka
jiandaen kisaikolojia tu