Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

Kijana wangu nilimprintia mambo ya kusoma na kumpa. Juzi nilimuuliza Tanzania ina Mikoa mingapi akanijibu 29,kuitaja akataja na Songea, Babati na Musoma[emoji28]nikamrekebisha tukapata jibu kamili,akaijua na Mikoa ya Zanzibar,nikampa CV yale aielezee tangu kazaliwa mpaka leo, nikampa desa aileze Uhamiani ni nini, majukumu yake ni yapi na core values zake ni zipi. Nashukuru yote hayo ameyakuta kama yalivyo, kesho anaenda kwenye Usaili wa Practical Uhamiaji Makao Makuu
heee kesho kunainterview ya oral kivip hawasubur majibu kwanza yatoke au ? ndo waje wafanye oral
 
Kijana wangu nilimprintia mambo ya kusoma na kumpa. Juzi nilimuuliza Tanzania ina Mikoa mingapi akanijibu 29,kuitaja akataja na Songea, Babati na Musoma[emoji28]nikamrekebisha tukapata jibu kamili,akaijua na Mikoa ya Zanzibar,nikampa CV yale aielezee tangu kazaliwa mpaka leo, nikampa desa aileze Uhamiani ni nini, majukumu yake ni yapi na core values zake ni zipi. Nashukuru yote hayo ameyakuta kama yalivyo, kesho anaenda kwenye Usaili wa Practical Uhamiaji Makao Makuu
Upo smart Sana mkuu
 
Hivi baada ya usaili uliofanyika kuna vipimo vyovyote vinafanyika kwa wasailiwa wote?
 
Back
Top Bottom