Usaili kada ya Afya 2024: Matokeo ya usaili ya kuandika (written) Tabibu daraja la pili (Clinical officer II) yametoka

Usaili kada ya Afya 2024: Matokeo ya usaili ya kuandika (written) Tabibu daraja la pili (Clinical officer II) yametoka

Jerry001

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2020
Posts
585
Reaction score
1,299
Ingia kwenye tovuti ya ajira utumishi kuona matokeo yako: Public Service Recruitment Secretariat | PSRS . Pia unaweza kupakuwa pdf attachment no.1 hapo chini kuona matokeo.

UPDATES: Matokeo ya AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT NURSING OFFICER II) yametoka, unaweza kupakua pdf no. 5 hapo chini

UPDATES: Matokeo ya msaidizi wa afya (Health Assistant) yametoka. Unaweza kupakua pdf no. 2 hapo chini.

UPDATES: Matokeo ya MTEKNOLOJIA DAWA DARAJA II (TECHNOLOGIST PHARMACY II) yametoka. Unweza kupakua pdf no.3 hapo chini.

UPDATES: Matokeo ya MTEKNOLOJIA MAABARA II - ( HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST II) yametoka. Unaweza kupakua pdf no.4 hapo chini.

UPDATES: MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA AFISA LISHE II (NUTRITION OFFICER II) NA KATIBU WA AFYA II ( HEALTH SECRETARY ). Pakua pdf no. 6 na no. 7

UPDATES: MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA MFAMASIA DARAJA LA II (PHARMACIST II) NA AFISA MUUGUZI DARAJA LA II (NURSING OFFICER II). Pakua pdf no 8 na no. 9
 

Attachments

PSRS hawana mchezo kutoka watahiniwa 8000+ waliokuwa shortlisted mpaka kubaki 3000+ kwenda oral. Zaidi ya watahiniwa 5000 wamekandwa
 

Attachments

  • clinical officer ii.jpg
    clinical officer ii.jpg
    149.5 KB · Views: 23
  • clinical officer ii -2.jpg
    clinical officer ii -2.jpg
    205.8 KB · Views: 17
Haya ndio mambo sasa. Lazima upitie mchujo mkali wa interview ndipo uajiriwe.

Sasa kama sio interview ungekuta huyo kilaz,a aliyepata alama 20 ambaye ni wa mwisho angeajiriwa kwa kigezo cha ufaulu wa shule na GPA ya chuo akaachwa mwamba aliye score 98 kwenye interview.
 
Ratio ni nzuri na ambayo ipo kikanuni imetumika kuchagua kwenda Oral

Nafasi zinazopambaniwa ni 1239 za Clinical Officer II

Walioitwa oral ni 3968 kati ya 6565 waliofanya written.

Ratio ni 3.2 ambayo ndio ni sahihi kikanuni za PSRS.

Hongereni wote mlioitwa Oral kapambaneni tena, wale mliokwama geukieni mishe zingine ingali mapema na kuendelea kuomba zingine zitakazoendelea kutangazwa kwenye taasisi tofauti tofauti.
 
Ko kwa ule mfumo wa zoa zoa na bahati nasibu ingewezekana huyo mwamba alofunga dimba angepata placement half huyo Janabi mtoto alopata 98 angekosa placement?

Kwakweli PSRS wametutoa gizani,Mwakani waboreshe zaidi waongeze na practical[emoji23][emoji23][emoji23]
Waliokuwa wanapinga Interview, sasa wataelewa vizuri maana ya Interview
 
Hiyo isikutishe aliyepata 58 anaweza kumshinda huyo aliyepata 98 kwenye Oral.

Ni jambo la kawaida sana hili.

Stage hii sio guarantee ya kuvuka stage inayofuata bila kupambana tena
Umenena mkuu. Unakuta kijana anabweteka baada ya kupata score kubwa stage ya awali. Akapambane ku-prove uwezo wake kwenye oral, meza inaweza kupinduka
 
Hapo bado ile inaitwa JAMBA JAMBA ya kucheck STATUS (SELECTED au NOT SELECTED)..

Alafu mkeka wa placement unakuja kwa kunyofoa watu 20, 20 mpk wote muishe... hapo hujui upo ktk kazi tyr au upo ktk DATABASE..

Hapo sasa.. ndio patamuu
 
Ko kwa ule mfumo wa zoa zoa na bahati nasibu ingewezekana huyo mwamba alofunga dimba angepata placement half huyo Janabi mtoto alopata 98 angekosa placement?

Kwakweli PSRS wametutoa gizani,Mwakani waboreshe zaidi waongeze na practical😂😂😂
😁 😁 😁 😁 😁 😁
 
Back
Top Bottom