Usaili kada ya Afya 2024: Matokeo ya usaili ya kuandika (written) Tabibu daraja la pili (Clinical officer II) yametoka

LETENI majibu ya oral tujue ,mtoto wangu atoke mbinga kwenda kufanya oral interview geita ...matokeo mmekalia mnajitambua ninyi

Semeni ,nijue nimpe mtaji afungue duka la dawa pahala au iwaje

Kazi yakuombwa Hela namtoto wakike anunue mambo yake ya kila mwezi hapana

Kikwete ,haya mambo aliwezaje
 
Hatari sana
 
Wameshaachia pdf nyingine. Leteni ushuhuda watu wa afya wa hizi kada

Environment Health Offier II
Assistant Environment Health Officer II
Nutrition Officer II
Health Laboratory Scientist II
Biomedical Engineer Technician II
Pharmacist II
 
Back
Top Bottom