Sex body
JF-Expert Member
- Nov 30, 2023
- 407
- 900
App imeipatia play store?APP yao inaandika undermaintance toka tumemaliza oral😢
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
App imeipatia play store?APP yao inaandika undermaintance toka tumemaliza oral😢
Relax wataifungua soon baada ya interview ya walimu ndio wanaoleta jamAPP yao inaandika undermaintance toka tumemaliza oral😢
Ndio mkuuApp imeipatia play store?
Sawa watakua wameifunga makusudi tuNdio mkuu
Pamoja sana mkuuRelax wataifungua soon baada ya interview ya walimu ndio wanaoleta jam
ILi watu wasione status zao😂Sawa watakua wameifunga makusudi tu
Yap,mtaanza kuwasumbua kua mnataka pesa za kujikumI
ILi watu wasione status zao😂
Fair competition6500s candidates kwa clinical officer tu, kweli hali sio hali.
😂😂😂Duh kwa hali hii ni Bora kua winga kariakoo
Hatari sanaLETENI majibu ya oral tujue ,mtoto wangu atoke mbinga kwenda kufanya oral interview geita ...matokeo mmekalia mnajitambua ninyi
Semeni ,nijue nimpe mtaji afungue duka la dawa pahala au iwaje
Kazi yakuombwa Hela namtoto wakike anunue mambo yake ya kila mwezi hapana
Kikwete ,haya mambo aliwezaje