Usaili kada ya Afya 2024: Matokeo ya usaili ya kuandika (written) Tabibu daraja la pili (Clinical officer II) yametoka

Ko kwa ule mfumo wa zoa zoa na bahati nasibu ingewezekana huyo mwamba alofunga dimba angepata placement half huyo Janabi mtoto alopata 98 angekosa placement?

Kwakweli PSRS wametutoa gizani,Mwakani waboreshe zaidi waongeze na practical😂😂😂
Na ndio mana sisi wengine tunaunga mkono usaili, ila hawa baadhi ya ndugu zetu hawatuelewi kabisa wanatuona hatuna akili
 
Duu watu wamekandwa hatari sana na unaweza kuta kwenye ile sanda kalawe yule mwenye 20 angekuwa wa kwanza kupangiwa kituo halafu yule profesa mwenye 98 angekosa….Hakika usaili hadanganyi!
 
Huyo wa mwisho aliyepata 58% ambaye n selected, sipati picha presha + furaha aliyonayo
Ndio maana tunasema wakati wa Mungu ni wakati sahihi! Jamaa kaponea kwenye tundu la sindano kama ningekuwa yeye ninge mshukuru Mungu sana ninge anza mazoezi na kitabu kwaajili ya oral kwa nguvu zote…Huyu jamaa ndiye anatakiwa kutu prove wrong aisee…….
 
Ko kwa ule mfumo wa zoa zoa na bahati nasibu ingewezekana huyo mwamba alofunga dimba angepata placement half huyo Janabi mtoto alopata 98 angekosa placement?

Kwakweli PSRS wametutoa gizani,Mwakani waboreshe zaidi waongeze na practical😂😂😂
Kuna watu walikuja hapa kulalamika hawataki kufanyiwa usaili
 
Ndio maana tunasema wakati wa Mungu ni wakati sahihi! Jamaa kaponea kwenye tundu la sindano kama ningekuwa yeye ninge mshukuru Mungu sana ninge anza mazoezi na kitabu kwaajili ya oral kwa nguvu zote…Huyu jamaa ndiye anatakiwa kutu prove wrong aisee…….
Kweli kabisa mkuu, huu ndo muda wake kurudi upya kambini na kuandaa silaha zake upya kwa ajili ya vita ya mwisho.
 
Back
Top Bottom