Usaili kada ya Afya 2024: Matokeo ya usaili ya kuandika (written) Tabibu daraja la pili (Clinical officer II) yametoka

Usaili kada ya Afya 2024: Matokeo ya usaili ya kuandika (written) Tabibu daraja la pili (Clinical officer II) yametoka

Mimi mwaka jana October nilikua wa pili kutoka mwisho kwenye selected for oral kati ya watu 25 tuliokua selected na siku ya Oral ndio nilikua wa mwisho kuingia panel room, lakini mwaka huu February mkeka ulitoka wa placement nikiwa miongoni mwa waliopata hiyo kazi. Kwenye Oral wanaenda kuanza upya matokeo ya written hayatambuliki tena.
Hongera sana mkuu
 
20 na 30 za kutosha, alafu Hawa ndio walitaka wapite bila interview
Kuna demu nilikua nafanya nae kazi mwaka jana dah kilaza kinoma akabahatika kupata kazi alipofika kule bado mambo yale yale sasa kuna jamaa anafanya kituo hiko hiko ,siku nimeenda mbeya nikakutana nae wakati tunapiga stori tukabadilishana namba ndo kuview status nikaona kampost ana muwish. Nikamuuliza akasema anapiga nae kazi ndo akamwaga mchele jinsi alivyo mzigo mpaka watu wanajiuliza alifaulu vipi. Sasa fikiria huyo kama angeenda kwa hii interview angezeekea kwao na naamini kuna watu watazeekea nyumbani.
 
Graduates wengi wa sasa inahuzunisha sana, ni weupe mno.

Pia hawana confidence, ww pia jaribu hata kuwa unawauliza tu maswali ya kile wanafanya utajionea maajabu
 
Ko kwa ule mfumo wa zoa zoa na bahati nasibu ingewezekana huyo mwamba alofunga dimba angepata placement half huyo Janabi mtoto alopata 98 angekosa placement?

Kwakweli PSRS wametutoa gizani,Mwakani waboreshe zaidi waongeze na practical😂😂😂
🤣🤣🤣janabi mtoto
 
PSRS hawana mchezo kutoka watahiniwa 8000+ waliokuwa shortlisted mpaka kubaki 3000+ kwenda oral. Zaidi ya watahiniwa 5000 wamekandwa
Yani una mitihani NECTA STD 7, FORM 2. FORM 4. FORM 6, HALAFU ILE YA VYUONI..BADO TENA MITIHANI YA KUOMBA AJIRA..duh
 
Back
Top Bottom