Usaili kada ya Afya 2024: Matokeo ya usaili ya kuandika (written) Tabibu daraja la pili (Clinical officer II) yametoka

Hawa ndio utumishi ninaowajua, yaani mtu umepata zako 80 umetoka kwenye paper unaona umeyapatia maisha unakuja kuangalia status NOT SELECTED.

Hii kada ya MTEKNOLOJIA DAWA DARAJA II (TECHNOLOGIST PHARMACY II) watu waliiotea paper kweli kweli
 

Attachments

  • NOT SELECTED.jpg
    280.2 KB · Views: 13
Vijana mnapoenda kufanya oral jitahidi sana, uvaaji na muonekano....

Kauli zako za mtaani ujitahidi kuziepuka
Upo sahihi mkuu naamini kada ya Afya wana ethics kama vile kada ya walimu, wanasheria, askari na wadiplomasia. Huwa wana mavazi yanayokubalika na aina ya kunyoa kwa wanaume au kusuka kwa wanawake.

Sasa ndugu zanguni wale wa kunyoa viduku na kupaka bleach kwenye nywele au ndevu chonde chonde, na wanawake kucha kama shumileta na mawigi yanayopeperuka jiangalieni. Unaweza ukaumbuka kwenye chumba cha usaili.
 
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA AFISA LISHE II (NUTRITION OFFICER II) NA KATIBU WA AFYA II ( HEALTH SECRETARY )
 
Kumbe inawezekana ukapita interview zote na bado usipangiwe kituo cha kazi?
 
Andaeni vibatali tayari Kwa maisha ya kijijini
 
Kada ya Afya malizeni jambo lenu na wengine tukumbukwe.
 
Nimechekaa jinsi ulivyomaliziaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani,hivi after oral huwa kuna mabadiliko kwenye account ile sehemu ya status mfano lile neno Selected for oral linaweza kutoweka pale au neno likabadilika kabisa?
Hahaha ingia kwenye app ya psrs utaona changes ukikuta hivi achana na web huwa aibadiliki itakuwa Ivo Ivo selected for oral

NOT SELECTED FOR ORAL= ume fail
SELECTED FOR ORAL= umefaulu subiri pdf kwa asilimia 70 sio lazima upate

N.b hakuna mwenye not ambaye amewahi pangiwa kazi kazi kwako.
 
Jamani,hivi after oral huwa kuna mabadiliko kwenye account ile sehemu ya status mfano lile neno Selected for oral linaweza kutoweka pale au neno likabadilika kabisa?
Hahaha ingia kwenye app ya psrs utaona changes ukikuta achana na web huwa aibadiliki itakuwa selected for oral daima.

NOT SELECTED FOR ORAL= ume fail
SELECTED FOR ORAL= umefaulu subiri pdf kwa asilimia 70 sio lazima upate

N.b hakuna mwenye not ambaye amewahi pangiwa kazi kazi kwako.
 
APP yao inaandika undermaintance toka tumemaliza oral😢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…