Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi mkuu naamini kada ya Afya wana ethics kama vile kada ya walimu, wanasheria, askari na wadiplomasia. Huwa wana mavazi yanayokubalika na aina ya kunyoa kwa wanaume au kusuka kwa wanawake.Vijana mnapoenda kufanya oral jitahidi sana, uvaaji na muonekano....
Kauli zako za mtaani ujitahidi kuziepuka
Yametoka?MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA AFISA LISHE II (NUTRITION OFFICER II) NA KATIBU WA AFYA II ( HEALTH SECRETARY )
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA AFISA LISHE II (NUTRITION OFFICER II) NA KATIBU WA AFYA II ( HEALTH SECRETARY )
Noma sanaa aiseeKumbe inawezekana ukapita interview zote na bado usipangiwe kituo cha kazi?
View attachment 3089906
Sasa c wasubiri nafasi ziwepo ndo waitishe interviewNoma sanaa aisee
Andaeni vibatali tayari Kwa maisha ya kijijiniIngia kwenye tovuti ya ajira utumishi kuona matokeo yako: Public Service Recruitment Secretariat | PSRS . Pia unaweza kupakuwa pdf attachment no.1 hapo chini kuona matokeo.
UPDATES: Matokeo ya AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT NURSING OFFICER II) yametoka, unaweza kupakua pdf no. 5 hapo chini
UPDATES: Matokeo ya msaidizi wa afya (Health Assistant) yametoka. Unaweza kupakua pdf no. 2 hapo chini.
UPDATES: Matokeo ya MTEKNOLOJIA DAWA DARAJA II (TECHNOLOGIST PHARMACY II) yametoka. Unweza kupakua pdf no.3 hapo chini.
UPDATES: Matokeo ya MTEKNOLOJIA MAABARA II - ( HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST II) yametoka. Unaweza kupakua pdf no.4 hapo chini.
UPDATES: MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA AFISA LISHE II (NUTRITION OFFICER II) NA KATIBU WA AFYA II ( HEALTH SECRETARY ). Pakua pdf no. 6 na no. 7
Ivi matokeo ya nurse II yalishatokaKada ya Afya malizeni jambo lenu na wengine tukumbukwe.
Nimechekaa jinsi ulivyomaliziaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ratio ni nzuri na ambayo ipo kikanuni imetumika kuchagua kwenda Oral
Nafasi zinazopambaniwa ni 1239 za Clinical Officer II
Walioitwa oral ni 3968 kati ya 6565 waliofanya written.
Ratio ni 3.2 ambayo ndio ni sahihi kikanuni za PSRS.
Hongereni wote mlioitwa Oral kapambaneni tena, wale mliokwama geukieni mishe zingine ingali mapema na kuendelea kuomba zingine zitakazoendelea kutangazwa kwenye taasisi tofauti tofauti.
HahahaaaNimechekaa jinsi ulivyomaliziaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha ingia kwenye app ya psrs utaona changes ukikuta hivi achana na web huwa aibadiliki itakuwa Ivo Ivo selected for oralJamani,hivi after oral huwa kuna mabadiliko kwenye account ile sehemu ya status mfano lile neno Selected for oral linaweza kutoweka pale au neno likabadilika kabisa?
Hahaha ingia kwenye app ya psrs utaona changes ukikuta achana na web huwa aibadiliki itakuwa selected for oral daima.Jamani,hivi after oral huwa kuna mabadiliko kwenye account ile sehemu ya status mfano lile neno Selected for oral linaweza kutoweka pale au neno likabadilika kabisa?
APP yao inaandika undermaintance toka tumemaliza oral😢Hahaha ingia kwenye app ya psrs utaona changes ukikuta hivi achana na web huwa aibadiliki itakuwa Ivo Ivo selected for oral
NOT SELECTED FOR ORAL= ume fail
SELECTED FOR ORAL= umefaulu subiri pdf kwa asilimia 70 sio lazima upate
N.b hakuna mwenye not ambaye amewahi pangiwa kazi kazi kwako.