usaili kada ya elimu somo LA mathematics umenishangaza

kilichotikea leo ni moja ya usaili katili sana kuwahi kushuhudia nimefanya interview shule nyingi za private lakini kwa huu nmenyoosha mikono.

kwa walimu ambao bado hamjasailiwa mjipange kule sio kuzuri kabsa .
😂😂

Binafsi nashindwa elewa. Hivi kama umepata Grade B number form four... ukaenda 5 na 6.. ukapata Grade C... Diploma Grade B.
usaili wa nini!?
 
kilichotikea leo ni moja ya usaili katili sana kuwahi kushuhudia nimefanya interview shule nyingi za private lakini kwa huu nmenyoosha mikono.

kwa walimu ambao bado hamjasailiwa mjipange kule sio kuzuri kabsa .
Acha kutisha wenzako...

Kama maswali yalikushinda wewe hiyo ni juu yako.
 
kilichotikea leo ni moja ya usaili katili sana kuwahi kushuhudia nimefanya interview shule nyingi za private lakini kwa huu nmenyoosha mikono.

kwa walimu ambao bado hamjasailiwa mjipange kule sio kuzuri kabsa .
Acha kuwatisha wenzako
 
Back
Top Bottom