blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
😂😂kilichotikea leo ni moja ya usaili katili sana kuwahi kushuhudia nimefanya interview shule nyingi za private lakini kwa huu nmenyoosha mikono.
kwa walimu ambao bado hamjasailiwa mjipange kule sio kuzuri kabsa .
Binafsi nashindwa elewa. Hivi kama umepata Grade B number form four... ukaenda 5 na 6.. ukapata Grade C... Diploma Grade B.
usaili wa nini!?