Utumishi wako fair
JF-Expert Member
- Nov 12, 2021
- 429
- 1,340
Ulijibiwa nini ?Leo Bwana baada ya kukaa nikawaza aahh,kumbe niliombaga nafasi za ajira za TRA. Nikastuka nikajua Tayari watu wameshaitwa .. cz sikuwa nimeingia online muda sehemu nilipokuwepo hakuna internet wala mtandao wa simu.
Basi kwa unyonge nikajua aahh basi haikuwa ridhiki yangu labda, ila sasa sijui nini kikanituma nijaribu kuzipiga zile number ambazo waliziweka kipindi kile kama ulikuwa na shida unawapigia, wanakusaidia basi bwana nikavuta wire kujaribu kuuliza kama Interview zilipita na kama zimepita basi niangalie channel nyingine...
Nyieeeee ππ, nilichojibiwa hakika kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa...π@tra
Don't take it personal, bro. Yeyote ambaye angepiga au amepiga amejibiwa hivyo hivyo.Yani acha tu kila nikikumbuka lile jibu, natafuta sehemu tulivu naliaaa , alafu ndio nakuwa sawa...
Sasa boss hadi kutamani kulia si ungetuambia umejibiwa nini ?, maana kuna jamaa yangu mmoja jumapili iliopita anasema ni kama alioipiwa simu toka TRA kwa inshu ya multiple applications kwenye account yake, ila hawakuelewana vizuri, anawaza sijui walikuwa ni matapeli waleeYani acha tu kila nikikumbuka lile jibu, natafuta sehemu tulivu naliaaa , alafu ndio nakuwa sawa...
Wameanza kupiga simu?Sasa boss hadi kutamani kulia si ungetuambia umejibiwa nini ?, maana kuna jamaa yangu mmoja jumapili iliopita anasema ni kama alioipiwa simu toka TRA kwa inshu ya multiple applications kwenye account yake, ila hawakuelewana vizuri, anawaza sijui walikuwa ni matapeli walee
Niliwaambia watu humu ,pamoja na mapungufu machache ya mfumo wa kuajiri kupitia utumishi , ila ni bora mara mia kuliko kuziacha hizi taasisi corrupt ziajiri zenyewe .Leo Bwana baada ya kukaa nikawaza aahh,kumbe niliombaga nafasi za ajira za TRA. Nikastuka nikajua Tayari watu wameshaitwa .. cz sikuwa nimeingia online muda sehemu nilipokuwepo hakuna internet wala mtandao wa simu.
Basi kwa unyonge nikajua aahh basi haikuwa ridhiki yangu labda, ila sasa sijui nini kikanituma nijaribu kuzipiga zile number ambazo waliziweka kipindi kile kama ulikuwa na shida unawapigia, wanakusaidia basi bwana nikavuta wire kujaribu kuuliza kama Interview zilipita na kama zimepita basi niangalie channel nyingine...
Nyieeeee [emoji849][emoji849], nilichojibiwa hakika kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa...[emoji24]@tra
Watu wakakaza mafuvu ,Niliwaambia watu humu ,pamoja na mapungufu machache ya mfumo wa kuajiri kupitia utumishi , ila ni bora mara mia kuliko kuziacha hizi taasisi corrupt ziajiri zenyewe .
Kwakweli utumishi tuna shuhudia mchakato mwanzo mwisho wa uwazi kabisa, angalau sisi masikini tuna farijika kuona haki.Niliwaambia watu humu ,pamoja na mapungufu machache ya mfumo wa kuajiri kupitia utumishi , ila ni bora mara mia kuliko kuziacha hizi taasisi corrupt ziajiri zenyewe .
Bila shaka umezaliwa miaka ya 2000 na wewe ni last born. Na kama jinsia yako ni ya kike ndo kabisa.Yani acha tu kila nikikumbuka lile jibu, natafuta sehemu tulivu naliaaa , alafu ndio nakuwa sawa...
Masharti magumu kama ya mkataba wa ufukweni"Only shortlisted applicants will be notified!!". And for those shortlisted, only successful interviewees will be notified!!
Siyo mbaya kuendelea kusubiri kwa matumaini!! ππππ