Usaili Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

Usaili Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

Pole , mimi nimeacha kabisa kufuatilia huo usaili wa TRA toka nilivyotoka Dodoma mpaka leo sijawahi kuwapigia simu wala kuangalia mkeka maana ile idadi siku ile kwenye usaili ilitosha kueleza kila kitu kuwa apa sina changu
[emoji16][emoji16] usikate tamaa mkuu..
 
Andaeni nauli keshokutwa account zenu status zitaanza kubadilika
 
Ndugu zangu, utaratibu wa kipindi hiki bado ni mpya, endapo kuna yoyote atakayepeleka malalamiko TRA kuhusu hizi ajira na akasikilizwa, tafadhali tufahamishane ili na wengine wenye changamoto mbali mbali waweze kujua kwamba nafasi ya kusaidiwa ipo.
 
Back
Top Bottom