Usaili Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

Usaili Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

Imerudi kwa wenyew sahivi. Unakuta wengine wanasubiri kuitwa, ila 'in reality' watu washaripoti makazini au kwny kozi mfano kwny majeshi huko. Muache last born anasubiri kuitwa aloo kinoJR mambo magumuuu
Maisha ya sikuhizi ni kama game vile lazima uwe na referee wa kuamua mchezo mzima..[emoji847] vingenevyo unakula za kichwa then unabaki chali tu..[emoji36]
 
Imerudi kwa wenyew sahivi. Unakuta wengine wanasubiri kuitwa, ila 'in reality' watu washaripoti makazini au kwny kozi mfano kwny majeshi huko. Muache last born anasubiri kuitwa aloo kinoJR mambo magumuuu
Alooooo tunasubr treni zanzibari itulete dar es salaam.
 
Pole , mimi nimeacha kabisa kufuatilia huo usaili wa TRA toka nilivyotoka Dodoma mpaka leo sijawahi kuwapigia simu wala kuangalia mkeka maana ile idadi siku ile kwenye usaili ilitosha kueleza kila kitu kuwa apa sina changu
 
Barua yako ya kuomba kazi nayo wameikadiria kodi nini?[emoji14]
Hawachelewi hawa mitu. Wanawaza kodi kila kona. Hata hii pumzi tunayovuta wanatamani waitoze kodi. Tuna bandari lakini tunatozwa zaidi ya wasio na bandari
 
Interview tulishafanya toka mwezi 12 mwaka jana tena tulifanyia Dodoma kwenye jengo la Auditorium CIVE
Mkuu hicho nacho uliza ni ile wameomba juzijuzi hapa nafkiri kati ya mwezi wa 5 or 6 kupitia website ya TRA, kwamba mahojiano tayari?
 
Mkuu hicho nacho uliza ni ile wameomba juzijuzi hapa nafkiri kati ya mwezi wa 5 or 6 kupitia website ya TRA, kwamba mahojiano tayari?
Ooh! Sawa Mkuu hiyo sikuifatilia! Hivo nikashindwa kujua kama kulikuwa na interview kwa wakati huo
 
Sasa kama kujibiwa vibaya tu umepanick,utaweza kuhimili presha za tax payers kweli?
 
Dadeki dogo aliomba hapa na hata hajui kama interview tayari, taarifa ziliwafikiaje mkuu? Hata humu jukwaani sikusikia au raia waliona wasiseme kupunguza jam
hakuna interview imefanyika mzee


mleta mada ni anataka kuchangamsha genge tu.
 
Leo Bwana baada ya kukaa nikawaza aahh,kumbe niliombaga nafasi za ajira za TRA. Nikastuka nikajua Tayari watu wameshaitwa .. cz sikuwa nimeingia online muda sehemu nilipokuwepo hakuna internet wala mtandao wa simu.

Basi kwa unyonge nikajua aahh basi haikuwa ridhiki yangu labda, ila sasa sijui nini kikanituma nijaribu kuzipiga zile number ambazo waliziweka kipindi kile kama ulikuwa na shida unawapigia, wanakusaidia basi bwana nikavuta wire kujaribu kuuliza kama Interview zilipita na kama zimepita basi niangalie channel nyingine...

Nyieeeee [emoji849][emoji849], nilichojibiwa hakika kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa...[emoji24]@tra
pole

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
sasa mbona umetuacha kwenye mataa? Wengi tunatamani kujua ulichojibiwa
 
Sasa boss hadi kutamani kulia si ungetuambia umejibiwa nini ?, maana kuna jamaa yangu mmoja jumapili iliopita anasema ni kama alioipiwa simu toka TRA kwa inshu ya multiple applications kwenye account yake, ila hawakuelewana vizuri, anawaza sijui walikuwa ni matapeli walee
Haya mambo ndio huwa sifanyagi huwa nnaomba nafasi moja tu hata kama post 3 nna vigezo.
 
Sijajua mkuu.

Huyo ni jamaa angu alikuwa na shida za multiple applications, anahisi inawezekana walikuwa ni matapeli maana hawakuelewana vzuri na hakuweza kuwapata tena
Watakuwa Matapeli tu, TRA hawajaongea chochote mpaka sasa. Kuhusu Multiple Applications hawakutoa angalizo/katazo.
 
Back
Top Bottom