Perrez Amanaya7
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 201
- 208
Maisha ya sikuhizi ni kama game vile lazima uwe na referee wa kuamua mchezo mzima..[emoji847] vingenevyo unakula za kichwa then unabaki chali tu..[emoji36]Imerudi kwa wenyew sahivi. Unakuta wengine wanasubiri kuitwa, ila 'in reality' watu washaripoti makazini au kwny kozi mfano kwny majeshi huko. Muache last born anasubiri kuitwa aloo kinoJR mambo magumuuu
Alooooo tunasubr treni zanzibari itulete dar es salaam.Imerudi kwa wenyew sahivi. Unakuta wengine wanasubiri kuitwa, ila 'in reality' watu washaripoti makazini au kwny kozi mfano kwny majeshi huko. Muache last born anasubiri kuitwa aloo kinoJR mambo magumuuu
Interview tulishafanya toka mwezi 12 mwaka jana tena tulifanyia Dodoma kwenye jengo la Auditorium CIVEDadeki dogo aliomba hapa na hata hajui kama interview tayari, taarifa ziliwafikiaje mkuu? Hata humu jukwaani sikusikia au raia waliona wasiseme kupunguza jam
Hawachelewi hawa mitu. Wanawaza kodi kila kona. Hata hii pumzi tunayovuta wanatamani waitoze kodi. Tuna bandari lakini tunatozwa zaidi ya wasio na bandariBarua yako ya kuomba kazi nayo wameikadiria kodi nini?[emoji14]
Mkuu hicho nacho uliza ni ile wameomba juzijuzi hapa nafkiri kati ya mwezi wa 5 or 6 kupitia website ya TRA, kwamba mahojiano tayari?Interview tulishafanya toka mwezi 12 mwaka jana tena tulifanyia Dodoma kwenye jengo la Auditorium CIVE
Ooh! Sawa Mkuu hiyo sikuifatilia! Hivo nikashindwa kujua kama kulikuwa na interview kwa wakati huoMkuu hicho nacho uliza ni ile wameomba juzijuzi hapa nafkiri kati ya mwezi wa 5 or 6 kupitia website ya TRA, kwamba mahojiano tayari?
Teh teh 😂😂 dah! noma sanaYani acha tu kila nikikumbuka lile jibu, natafuta sehemu tulivu naliaaa , alafu ndio nakuwa sawa...
oya weInterview tulishafanya toka mwezi 12 mwaka jana tena tulifanyia Dodoma kwenye jengo la Auditorium CIVE
hakuna interview imefanyika mzeeDadeki dogo aliomba hapa na hata hajui kama interview tayari, taarifa ziliwafikiaje mkuu? Hata humu jukwaani sikusikia au raia waliona wasiseme kupunguza jam
poleLeo Bwana baada ya kukaa nikawaza aahh,kumbe niliombaga nafasi za ajira za TRA. Nikastuka nikajua Tayari watu wameshaitwa .. cz sikuwa nimeingia online muda sehemu nilipokuwepo hakuna internet wala mtandao wa simu.
Basi kwa unyonge nikajua aahh basi haikuwa ridhiki yangu labda, ila sasa sijui nini kikanituma nijaribu kuzipiga zile number ambazo waliziweka kipindi kile kama ulikuwa na shida unawapigia, wanakusaidia basi bwana nikavuta wire kujaribu kuuliza kama Interview zilipita na kama zimepita basi niangalie channel nyingine...
Nyieeeee [emoji849][emoji849], nilichojibiwa hakika kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa...[emoji24]@tra
Sijajua mkuu.
Haya mambo ndio huwa sifanyagi huwa nnaomba nafasi moja tu hata kama post 3 nna vigezo.Sasa boss hadi kutamani kulia si ungetuambia umejibiwa nini ?, maana kuna jamaa yangu mmoja jumapili iliopita anasema ni kama alioipiwa simu toka TRA kwa inshu ya multiple applications kwenye account yake, ila hawakuelewana vizuri, anawaza sijui walikuwa ni matapeli walee
Hawana lolote kwani hukumbuki walivujisha paper ikabidi lirudiwe na habari ilikuwa hapahapa jukwaani.Mimi nawaamini utumishi....mambo huwa black n white
Pole mway ni mitihan hiyo ktk kupamban kutafuta rizikiYani acha tu kila nikikumbuka lile jibu, natafuta sehemu tulivu naliaaa , alafu ndio nakuwa sawa...
Watakuwa Matapeli tu, TRA hawajaongea chochote mpaka sasa. Kuhusu Multiple Applications hawakutoa angalizo/katazo.Sijajua mkuu.
Huyo ni jamaa angu alikuwa na shida za multiple applications, anahisi inawezekana walikuwa ni matapeli maana hawakuelewana vzuri na hakuweza kuwapata tena