Usaili TRA ni lini?

Usaili TRA ni lini?

Asante boss, lakini mbona hayajakamilika kuna kama mimi niliomba Tax Management Assistant II,Costomer servive Officer II. Hizo hapo kwenye documents hazipo. nimeshindwa kujua kama nipo au sipo. Naomba sana mrejesho ili niwe na taarifa ndani ya Muda.
Hayo c ya T.R.A TULIZA AKILI MKUU
 
Hizi ajira ni kwajili ya graduates wanaojitolea (volunteering) kwenye ofisi za TRA na wale wenye connection, nje ya hapo nafasi chache zitatolewa kwa wengine

Zamani haya mambo yalibanwa kwa chombo kimoja cha utumishi kusimamia ajira zote, sikuhizi taasisi nyingi zinajisimamia kwenye ajira
Wewe ni msemaji wa hizo taasisi au ni mropokaji wa kijitolea ?
 
Mwezi wa tatu mbona ushafika nusu sas,
mwaka jana interview ya TRA walitumia madarasa ya udsm kufanyishia interview yao na kwa hesabu yangu nnajua udsm wamemaliza mitihani ya semister 28/02/2025 kwahyo nilijua hili watumie hayo madarasa tena itabidi waite wakati wanafunzi wamemaliza mitihani lakini mwezi wa tatu haujaisha kwani majina kutoka mpk kuitwa kufanya interview sini wiki tu sababu oral nakumbuka walifanyia mbweni,kama umeomba jiandae tu na interview wakitoa majina hakuna muda wa kutosha kujiandaa wiki moja utasoma nn
 
Daaah saw Mungu atusaidie huu mwaka uwe wa historia kwangu na wenzang
 
Mnajisumbua tu, nafasi watu washapangiwa nyie wengine mnaenda kukamilisha process tu
 
Watu ni wa moto sana [emoji851]
Shida mkuu watu Wana shida Hadi kwenye meno , hizi kazi ndio unakuta mtu ndio tegemeo lake ..mtu anaweza kupata stress kabisa akadondoka...kama waliokua wanasubiri derby na haikufanyika..
 
Shida mkuu watu Wana shida Hadi kwenye meno , hizi kazi ndio unakuta mtu ndio tegemeo lake ..mtu anaweza kupata stress kabisa akadondoka...kama waliokua wanasubiri derby na haikufanyika..
Next week tu, pdf hiloo
 
  • Thanks
Reactions: jb_
Back
Top Bottom