TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 4,321
- 7,501
Hayo c ya T.R.A TULIZA AKILI MKUUAsante boss, lakini mbona hayajakamilika kuna kama mimi niliomba Tax Management Assistant II,Costomer servive Officer II. Hizo hapo kwenye documents hazipo. nimeshindwa kujua kama nipo au sipo. Naomba sana mrejesho ili niwe na taarifa ndani ya Muda.