Murtapha68
Member
- Feb 20, 2022
- 58
- 40
wadau interview ya ajira za jeshi la polisi mkoa wa singida zitafanyika sehema gani?
Hadi sasa hakuna taarifa rasmi kwa anayefahamu atusaidie
Hadi sasa hakuna taarifa rasmi kwa anayefahamu atusaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Typing error ndugu nipo serious sasa amna taarifa rasmi ad saiz unafikir tutapata wapi maelekezoUnataka kuwa police kabisa are serious.....!!!!!!!!!
wadau interview ya ajira za jeshi la polisi mkoa wa singida zitafanyika sehema gani
Ad Sasa hakuna taarifa rasmi kwa anayefahamu atusaidie
View attachment 3052945
Mtoa uzi ulinitisha sana na heading nilijua kua polosi ni kitengo kingine😁
Apana type error mkuuView attachment 3052945
Mtoa uzi ulinitisha sana na heading nilijua kua polosi ni kitengo kingine😁
Hizi ni kwa wale wa kuanzia diploma na degree au zaidi vp kuhusu form 4 na 6 ambao watafanyia kwenye maeneo Yao je kwa singida si sehemu ganinadhani unafanyika dar es salaam kurasini na kwa visiwani pemba chakechake
Fika ofisi za RPC Singindawadau interview ya ajira za jeshi la polisi mkoa wa singida zitafanyika sehema gani?
Hadi sasa hakuna taarifa rasmi kwa anayefahamu atusaidie