Usaili wa ajira za polisi zitafanyika sehemu gani Singida?

Usaili wa ajira za polisi zitafanyika sehemu gani Singida?

wadau interview ya ajira za jeshi la polisi mkoa wa singida zitafanyika sehema gani
Ad Sasa hakuna taarifa rasmi kwa anayefahamu atusaidie
Screenshot_20240726_184406.jpg

Mtoa uzi ulinitisha sana na heading nilijua kua polosi ni kitengo kingine😁
 
nadhani unafanyika dar es salaam kurasini na kwa visiwani pemba chakechake
 
nadhani unafanyika dar es salaam kurasini na kwa visiwani pemba chakechake
Hizi ni kwa wale wa kuanzia diploma na degree au zaidi vp kuhusu form 4 na 6 ambao watafanyia kwenye maeneo Yao je kwa singida si sehemu gani
 
Mkuu kimbia dar TU hapo singida autofanyika kutasababisha uvunjifu wa miti ya sunflower
 
Back
Top Bottom