Usaili wa kuandika msaidizi maendeleo ya jamii daraja la pili

SephF

New Member
Joined
Jun 12, 2025
Posts
3
Reaction score
1
Tafadhali mwenye maswali ya usahili utumishi msaidizi maendeleo ya jamii daraja la pili au whatsup group anisaidie
 
Kupata Maswali moja kwa moja itakuwa ngumu labda kama kuna mtu alipiga picha Mtihani aliofanya, kitu ambacho sio rahisi Kutokana na usimamizi uliopo kwenye ufanyaji wa hio Mitihani.

Kwa uzoefu wangu kwenye Nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii daraja la pili, maswali mengi yanatoka kwenye maeneo haya:

1. Conflict Resolution
2. Community development theories, Principles and approaches.
3. Participatory Planning.
4. Issue za Gender ( Japo ni kwa uchache).
5. Development Studies.

NB: Hakikisha unasoma na KUELEWA notes na material zozote ulizo nazo, USIKALILI. Kwa sababu maswali ya sasa hivi ni Multiple-choice na yapo kwa muundo wa maelezo ( Scenario).

Ngoja waje na Wataalamu wengine, kwa Maelezo zaidi.

Kila la Kheri kwenye Usaili wako.
 
Amina, asante Sana kwa kunipa mwongozo acha nijitahidi kupitia materials na kuyaelewa
 
Kupata Maswali moja kwa moja itakuwa ngumu labda kama kuna mtu alipiga picha Mtihani aliofanya, kitu ambacho sio rahisi Kutokana na usimamizi uliopo kwenye ufanyaji wa hio Mitihani.

Kwa uzoefu wangu kwenye Nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii daraja la pili, maswali mengi yanatoka kwenye maeneo haya:

1. Conflict Resolution
2. Community development theories, Principles and approaches.
3. Participatory Planning.
4. Issue za Gender ( Japo ni kwa uchache).
5. Development Studies.

NB: Hakikisha unasoma na KUELEWA notes na material zozote ulizo nazo, USIKALILI. Kwa sababu maswali ya sasa hivi ni Multiple-choice na yapo kwa muundo wa maelezo ( Scenario).

Ngoja waje na Wataalamu wengine, kwa Maelezo zaidi.

Kila la Kheri kwenye Usaili wako.
Umemaliza kila kitu, interview za sasa ni online yani inabidi kusoma haswa si kupitia kwa juu juu.
 
Back
Top Bottom