Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
Kwa uzoefu wangu wafanyakazi bora hawatokani na uwezo wa kukariri terminologies.Hayo yanayoulizwa hukuwahi kufundishwa huko chuoni?
Serikali inaajiri watu waliokariri mambo na hawajui chochote katika mazingira ya kisasa ya utendaji kazi ni jambo baya.Ndio usahili (written) upo hivyo.....ulitaka wakuulize kuhusu uzoefu wako kwenye written ?
Actually paper naweza kufaulu. Hapa naongelea hatari ya kuajiri freshers watakaoenda kufundishwa kazi na hawa watu wetu wa serikalini ambao wote tunajua utendaji wao wa kazi.mtu kakosea paper anatafuta faraja
Afadhali mkuu umenielewa. Wanatakiwa kuwa na aina tofauti za usaili kulingana na uzoefu wa mhusika.Anachoongea mtoa mada kina logic, km amemaliza miaka 4/5 iliyopita ni kazi kukumbuka terminology hizo anazosema.
Kwahio unadhani vijana ambao hawajapata nafasi ya kufanya kazi Ni sahihi kuulizwa maswali yanayohitaji mtu mwenye uzoefu wa kazi?Kwa uzoefu wangu wafanyakazi bora hawatokani na uwezo wa kukariri terminologies.
Upo sahihi boss, hapo kwenye aina tofauti za usaili nimekuelewaAfadhali mkuu umenielewa. Wanatakiwa kuwa na aina tofauti za usaili kulingana na uzoefu wa mhusika.
Wanaita watu wenye 8+ years experience na certifications kama ITIL, Cisa, PMP etc halafu wanakuuliza terminologies ambazo hazihusiki kabisa kwenye modern IT.
Anachoongea mleta mada ni kuwe na balanceKwahio unadhani vijana ambao hawajapata nafasi ya kufanya kazi Ni sahihi kuulizwa maswali yanayohitaji mtu mwenye uzoefu wa kazi?
mtu kakosea paper anatafuta faraja
Mimi napendekeza usaili uwe tofauti kulingana na uzoefu wa waombaji. Wasiokuwa na uzoefu wapimwe kwa waliyosoma darasani na hawa wa makazini wapimwe kwa uzoefu wa kikazi.Kwahio unadhani vijana ambao hawajapata nafasi ya kufanya kazi Ni sahihi kuulizwa maswali yanayohitaji mtu mwenye uzoefu wa kazi?
Good point [emoji117]Anachoongea mleta mada ni kuwe na balance
Huwezi kuweka post ambayo ni skills based ambayo inahitaji experience halafu umuulize mtu maswali ambayo yanamuhitaji akazikeshee modules alizozisoma miaka 6 nyuma
Mfano TTCL wanatafuta labda mtu wa ICT au Marketing lakini wanampa utumishi watafutie candidates lakini wao mwisho wa siku wanaangalia mambo ya darasani. Unadhani watapata mtu competent
Freshers nao wanastahili fursa Kama vijana wengineSerikali inaajiri watu waliokariri mambo na hawajui chochote katika mazingira ya kisasa ya utendaji kazi ni jambo baya.
Hawa wahitimu wapya wasiokuwa na uzoefu kabisa wanaenda kufundishwa kazi na wafanyakazi waliopo serikalini sasa hivi.
Tunafahamu jinsi utendaji wa hawa watu wetu serikalini hivyo hawa wapya watakuwa kama hao hao. Vicious cycle
Ni kweli kabisa ndio maana interview inatakiwa kuwa tofauti kati ya freshers na wenye uzoefu.Freshers nao wanastahili fursa Kama vijana wengine
Wanabidi wazingatie Hilo tuNi kweli kabisa ndio maana interview inatakiwa kuwa tofauti kati ya freshers na wenye uzoefu.
Freshers nao wanastahili fursa Kama vijana wengine