Next Elon Musk
Senior Member
- Dec 2, 2019
- 115
- 87
Yeqh kwel so kama ni hivyo inabidi watrain kuwa washindani kwenye industryKweli bro, freshers wengi wamesaidiwa natamani entry level jobs wazidi kuzipata lakini pia mashirika yetu yanahitaji watu wenye uwezo na ubunifu pia
Kumbuka haya mashirika yanapotoa huduma mbovu au yanapoendeshwa pasipo usimamizi thabiti. Tunaumia nchi nzima kwa sababu wote tunatoa kodi ili watu wapate mishahara
Leo hii shirika la serikali lina mtu wa ICT ila kakitu kadogo tu inabidi wachukue mtu kutoka nje au waombe consultancy, hizo gharama unadhani nani analipia kama sio mimi na wewe