Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya

Yeqh kwel so kama ni hivyo inabidi watrain kuwa washindani kwenye industry
 
Umeongea point mkuu... ila tatizo ni kwamba mfumo ndo tayari upo hivo na kubadilisha mfumo hiyo sio kazi rahisi kama kuandika uzi JF.

Hapa as an individual ni kujaribu kujibadilisha wewe mwenyewe ili uendane na mfumo.

Kama mfumo unakutaka ukariri vya darasani na sio kuwa na uzoefu.. itabidi uji tune kukariri vya darasani pindi unapoenda kwenye interview.. la sivo, utakuwa unaangukia pua kila siku halafu unakuja kulalamika kwamba wewe una uzoefu wa kutosha.
 
Sio ukariri mkuu ni uelewa wa fani yako wewe kama ujui theoretcal material ya professional basi hautufsi. Bado practical inakuja madogo watakunyosha tu
 
Sio ukariri mkuu ni uelewa wa fani yako wewe kama ujui theoretcal material ya professional basi hautufsi. Bado practical inakuja madogo watakunyosha tu
Usidhani watu wenye experience huwa hawajifunzi ila hawajifunzi ya darasani pekee

Leo hii kuna online course na baadhi ya materials ni updated kuliko vile tulivyojifunza darasani kwa hiyo mtu akitaka apite utumishi ni lazma apitie materials za darasani ili aendane nao sawa

Kingine utumishi interview zao hazipimi uelewa ila kukariri na speed

5 Questions, 30 minutes. Hapo unapima uelewa gani

Usidhani kila mtu anategemea au anatamani kupata ajira serikalini Ndio maana hapa watu hawalalamiki kwa sababu wamekosa nafasi ila utumishi waangalie namna ya kubadili interviews zao. Wasitumie single approach kwenye vacancy tofauti

Kama ni entry jobs sawa lakini zingine wabadili maana mwisho wa siku hawa incompitent employees wanatuathiri wote tukienda kupata huduma au mashirika kudumaa
 
Unaweza ukawa unasema kweli mtoa na wachangiaji ila kujua terminology hata wewe unaweza zijua tu nakupa mfano mie kipindi nipo chuo Nilienda kufanya field office ya mhindi mmoja ipo karikoo yule jamaaa ana zaidi ya Miaka 10 Toka amalize chuo ila anajua terminology na definitions karibu zote alikua ananitwanga maswali mpka natamani kesho nisije ofisini na nikaona Bora tuwe tunaenda site kufunga network na CCTV camera tu labda hakutakua na maswali duh huko ndo nilikoma Sasa Akishika switch anaanza kukupa pindi Nini maana ya switch,Kuna aina ngapi za switch na ujinga mwingi tu mpka nikawa najiona Sina kitu kichwani aisee so Toka siku hiyo huwa nasoma tu nikipata mda hizi terminology ndogo ndogo na ujobless huu hata hainisumbui
 
Hahaha kusoma muhimu kwa kweli
 
Lengo hapa ni kuonesha namna nyingine wanayoweza kuitumia.
 
Actually paper naweza kufaulu. Hapa naongelea hatari ya kuajiri freshers watakaoenda kufundishwa kazi na hawa watu wetu wa serikalini ambao wote tunajua utendaji wao wa kazi.
Kwahiyo shauri labda unadhani wafundishwe na nani sasa? Au wazungu waje?au mtu atoke burundi,congo au ghana?
 
Vipi mkuu mlifanya kwa kanda kama Waziri alivyotoa ahadi hyo?.
 
Hili alilolihoji mleta uzi naona nimenitokea kwenye mtumbwi wa vimbwengo nilioupanda juzi.

Madogo waliohitimu 2020, mwaka 2021 wakamaliza Intern na kujiandaa na mtihani wa usajili(yaani wakarudi vitabuni kusoma deeply ili wafaulu mtihani, ikapelekea kufanya revision ya uhakika).

Sasa kwenye written wakatupelekesha tuliochapika kitaa kwa kuingia kitaa kitambo na kusahau madesa.

Hizi written zinanirudisha kwenye madesa ngoja niendelee kukomaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…