Usain Bolt aingia kwenye kashfa ya picha za mahaba na mwanafunzi

Hahahaa ila nimeusahahu huo wimbo sijui alitoa 2002 nimeutafuta nimeukosa hata jina wala lyrics sijui.
Hahaha nikajua unaniletea zako kama kwenye uzi fulani tulikua tunabonga kimasai kama kawa ukanipa tafsiri zako zile

Unaitwa Sorry,Blame it on me ,umetoka mwaka 2007
 
Bolt atakuwa amemkimbiza spidi za mita 100 mpaka binti kachizika..
 
Kwa sheria za kiislam bwana Hussein Bolt amefanya makosa.
 
eti mwanafunzi
tizama picha ya juu yaani macho ya kilevi kabisa
In one of the photos (pictured) Bolt seems to give Duarte, a 20-year-old student, a kiss on the cheek while she looks into the camera

Read more: Rio student, 20, shares photos appearing to show her in bed with Bolt
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook


Huyu Jady Duarte si mwanafunzi na alimpata UB bila kujua km ni star
Mchumba wake halisi ni Kasi Bennett huyo anayecheza naye
mambo ya ujana ndiyo hivyo tena ponda raha kufa kwaja
 
Hahaha nikajua unaniletea zako kama kwenye uzi fulani tulikua tunabonga kimasai kama kawa ukanipa tafsiri zako zile

Unaitwa Sorry,Blame it on me ,umetoka mwaka 2007
AhahHaaahaa naufahamu ule uzi bana haahahaa bado nipo kwenye brash ya lugha bana.
 
kila mwaka anawakimbiza wamarekani kwenye medali, unadhani watamwacha hivihivi.. wameshindwa kumkamata na madawa ya kuongeza nguvu za misuli sasa wanatafuta chochote kile kitakachomchafua ilimradi tu kumshusha.. these white people will never leave any black man alone. LET A NIGGA BREATHE!!
 
Kwa hiyo Wamarekani ndo walimfanya akaenda ku hang out na huyo mchuchu ili tu wamkamate akifanya jambo baya?

Akili zingine bana...!!!
 
Kwa hiyo Wamarekani ndo walimfanya akaenda ku hang out na huyo mchuchu ili tu wamkamate akifanya jambo baya?

Akili zingine bana...!!!
acha umburura, nimezungumzia jinsi bad news ilivyotravel fast.
 
Kwani alimwita club??
kwani alimuonesha cheti chake cha kuzaliwa akakataa??
 
Wabongo na umbea mpo juuu. Tena kama huyu mleta uz ukimfalitia vzur utagundua hta mama yake aliolewa akiwa na miaka 17. Sasa leo anaandika umbea wa mtu wa miaka 20. Et ni mwanafunzi. Duhh. Wenzetu uko university wanagraduate under 20.
 
kila mwaka anawakimbiza wamarekani kwenye medali, unadhani watamwacha hivihivi..

Ok..kila mwaka anawakimbiza Wamarekani...kwa hiyo wamemshindwa kwenye riadha na hivyo wanamska kwenye mambo mengine, siyo?

Hao Wamarekani ndo walimfanya akaenda kula raha na huyo binti?

wameshindwa kumkamata na madawa ya kuongeza nguvu za misuli sasa wanatafuta chochote kile kitakachomchafua ilimradi tu kumshusha..

Wamarekani ndo wameshindwa kumkamata Bolt na madawa ya kuongeza nguvu za misuli?

Vichekesho!

these white people will never leave any black man alone. LET A NIGGA BREATHE!!

So it's a black and white thing now huh? Good grief!!

mwenye macho haambiwi ona.

Ni wapi ulipozungumzia habari kuenea kwa kasi?

Hapo juu nimenukuu karibu mstari kwa mstari bandiko lako unalowalaumu Wamarekani na Wazungu!

Wapi ulipozungumzia kasi ya habari?
 
huwezi kuelewa, its more than meets the eye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…