UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,673
- 12,265
Hahaha nikajua unaniletea zako kama kwenye uzi fulani tulikua tunabonga kimasai kama kawa ukanipa tafsiri zako zileHahahaa ila nimeusahahu huo wimbo sijui alitoa 2002 nimeutafuta nimeukosa hata jina wala lyrics sijui.
Unaitwa Sorry,Blame it on me ,umetoka mwaka 2007