Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
- Thread starter
-
- #21
Hivi ulikuwa unaangalia picha tu au ulikuwa unasikilizaTaaluma ya habari inakinzana na unachokiamini...
Huwezi weka picha ya ugali halafu maelezo yako yanaelezea kisamvu...
Bolt hata hakushtuka wala kushangaa alivyoshindwa leo, alichofanya ni kuendelea kuzunguka uwanja na kuaga mashabiki na uwanja mzima ulikuwa ukiimba jina lake...
Justin ye alikuwa busy na ndugu zake wa NBC Sports akihojiwa huko na hata kabla ya hapo kama umetazama vizuri Bolt alimfuata jamaa akamkumbatia na kuongea naye kwa sekunde kadhaa...
Hata MEIWEDHA JR atadundwa pambano lake la mwishoLakini tutamkumbuka kama the best sprinter
Tundu Lissu, Mbowe, Lipumba, Zitto, Lowassa... nani mwingine ambaye sijamtaja... Oh kumbe kuna kina Pengo, Malasusa...Hata Tundu Lisu, ingawa unakwepa kumtaja.
Na Mimi nasubiri adundwe tu hakuna namna
Kwahiyo macho yake ndo yanakimbia??
Siku zote katika maisha kuna mwanzo na mwisho....
Kama Tyson alipigwa mpk akang'ata mtu sikio... Bolt lazima akubali kuna miguu mipya inazaliwa....
Hivyohivyo kwa Messi, Ronaldo, Neymar, Magufuli, Kagame, Mugabe, Museveni, Nkurunzinza, Makonda et el
Ni kweli mkuu hata Lowasa inatakiwa apumzike. Nimemsikia nikiwa mdogo hadi sasa nina watoto wakubwa!!Kwahiyo macho yake ndo yanakimbia??
Siku zote katika maisha kuna mwanzo na mwisho....
Kama Tyson alipigwa mpk akang'ata mtu sikio... Bolt lazima akubali kuna miguu mipya inazaliwa....
Hivyohivyo kwa Messi, Ronaldo, Neymar, Magufuli, Kagame, Mugabe, Museveni, Nkurunzinza, Makonda et el
Hayo ni mapenzi ya Mungu. Yesu alipumzika kabla ya baba yake mlezi Yusufu. Apangaye kifo ni Mungu pekee. Kama wewe wapenda afe basi tumwachie Mungu asikie kilio chako na akutendee miujizaNi kweli mkuu hata Lowasa inatakiwa apumzike. Nimemsikia nikiwa mdogo hadi sasa nina watoto wakubwa!!
Nadhani wewe unajua kuandika tu lakini kusoma hujui. Wapi nimeandika kwamba Lowasa anatakiwa kufariki?Hayo ni mapenzi ya Mungu. Yesu alipumzika kabla ya baba yake mlezi Yusufu. Apangaye kifo ni Mungu pekee. Kama wewe wapenda afe basi tumwachie Mungu asikie kilio chako na akutendee miujiza
Kama Gatlin atakuwa katumia madawa tena basi wazo la mdau hapo chini linawezekanaIt is fair, he has been best sprinter ever without drugs ever. He is the best and his record will stand test of time.
Greatness is determined by your
1) ongevity.
2) How many years your were number one.
3) How many medals you won,
4) How you compete fair on unfair (Example Justin Gatlin compete while he is full of drugs)
5) Lose with magnanimity and decency.
He has done that he is the greatest athletic ever.
Wala sikatai maadam una uhakika.... Najua una uhakika kuna atakayemreplace baba yako.Mkuu wote hao sawa wapo watakao wa-replace, lakini huyo ndugu bolded red sidhani kama kutapata tokea kama yeye. Huyo ni Limited edition.
Na ni wapi nimesema kwamba umesema hivyo?Nadhani wewe unajua kuandika tu lakini kusoma hujui. Wapi nimeandika kwamba Lowasa anatakiwa kufariki?
Exactly... kama Tyson alipigwa hakuna ambaye hatapigwaAnd so should be Floyd Myweather this year.
Nothing lasts forever.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutakuwa hatuko dunia hii. Labda itokee tu9.54 sec
Nani atayekuja kuivunja hii???
Naam mpwa...Tutakuwa hatuko dunia hii. Labda itokee tu
Hivi hizo medani hua zinaendana na hela?Justin ampokonya ushindi Bolt
Ikiwa ndio farewell yake bolt hakutegemea aage hivyo
Lakini mwili umegoma
Nenda katika hii sredi hapa Riadha waahidi Tanzania medali ktk London IAAF World Championship 2017Hivi ulikuwa unaangalia picha tu au ulikuwa unasikiliza
I thought you are better than this
Naona imekuwa ligi sasa
Hebu mzee tuyaache
Thank you for the good explanationIt is fair, he has been best sprinter ever without drugs ever. He is the best and his record will stand test of time.
Greatness is determined by your
1) ongevity.
2) How many years your were number one.
3) How many medals you won,
4) How you compete fair on unfair (Example Justin Gatlin compete while he is full of drugs)
5) Lose with magnanimity and decency.
He has done that he is the greatest athletic ever.