SanaHivi hizo medani hua zinaendana na hela?
Ni kweli umri umeenda piaTatizo la kila siku la kuchelewa kuchomoka mapema toka kwenye blocks limemuathiri sana safari hii wakati umri ndiyo umekwenda.
Zamani alikuwa na uwezo wa kulifukia tatizo hilo na kasi yake na kuwapita wapinzani wake inapofika nusu au robo tatu ya safari.
And so should be Floyd Myweather this year.
Nothing lasts forever.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lowassa,Mbowe,Mbatia....
Nani kazungumzia kifo?Hayo ni mapenzi ya Mungu. Yesu alipumzika kabla ya baba yake mlezi Yusufu. Apangaye kifo ni Mungu pekee. Kama wewe wapenda afe basi tumwachie Mungu asikie kilio chako na akutendee miujiza
Una kipaji cha ubishiNa ni wapi nimesema kwamba umesema hivyo?
Haaa!! Heti miguu mipyaaa!!!Kwahiyo macho yake ndo yanakimbia??
Siku zote katika maisha kuna mwanzo na mwisho....
Kama Tyson alipigwa mpk akang'ata mtu sikio... Bolt lazima akubali kuna miguu mipya inazaliwa....
Hivyohivyo kwa Messi, Ronaldo, Neymar, Magufuli, Kagame, Mugabe, Museveni, Nkurunzinza, Makonda et el
Lipumba, maalim, sakayaLowassa,Mbowe,Mbatia....
It is fair, he has been best sprinter ever without drugs ever. He is the best and his record will stand test of time.
Greatness is determined by your
1) ongevity.
2) How many years your were number one.
3) How many medals you won,
4) How you compete fair on unfair (Example Justin Gatlin compete while he is full of drugs)
5) Lose with magnanimity and decency.
He has done that he is the greatest athletic ever.
Ha ha ha, umeanza kuweweseka.Tundu Lissu, Mbowe, Lipumba, Zitto, Lowassa... nani mwingine ambaye sijamtaja... Oh kumbe kuna kina Pengo, Malasusa...
Wengine tena... Magonjwa Mtambuka, Asprin.... taja wote uwajuao hakuna atakayebaki mshindi. Wote tutalazwa chini ya tani saba ya udongo hata kama tuna mamlaka gani
Cha msingi tenda wema uende zako...
Bora angeacha pale alipovunja records,hapa heshima yake imeshuka,usikute huyo mshindi hajavuka records ya bolt sekunde 9 mita 100.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa.Humjui Gatlin wewe.. So funga bakuli lako.
Kabla hujamjuwa Bolt basi Gatlin alishakuwa Bingwa...
Fuatilia riadha kisha ndio ubwabwaje
Lipi la kuniwewesesha kwa mfano?Ha ha ha, umeanza kuweweseka.