Usain Bolt haamini macho yake baada ya kushindwa

Usain Bolt haamini macho yake baada ya kushindwa

Tatizo la kila siku la kuchelewa kuchomoka mapema toka kwenye blocks limemuathiri sana safari hii wakati umri ndiyo umekwenda.

Zamani alikuwa na uwezo wa kulifukia tatizo hilo na kasi yake na kuwapita wapinzani wake inapofika nusu au robo tatu ya safari.
 
Hivi hizo medani hua zinaendana na hela?
Sana
Wanapata hela nzuri sana na baada ya hapo wanapata mikataba na kampuni za viatu kama Nike na hata matangazo mengi ya biashara, na hapo ndio hela zinaanza kumiminika
 
Tatizo la kila siku la kuchelewa kuchomoka mapema toka kwenye blocks limemuathiri sana safari hii wakati umri ndiyo umekwenda.

Zamani alikuwa na uwezo wa kulifukia tatizo hilo na kasi yake na kuwapita wapinzani wake inapofika nusu au robo tatu ya safari.
Ni kweli umri umeenda pia
Lakini hela pia tamu
 
And so should be Floyd Myweather this year.
Nothing lasts forever.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo kitu sahau kabisa huyo mzungu atapigwa kama mtoto mdogo. Kama alishindwa Saul Alvarez Canelo ambaye anasifika kwa mkono mzito, unaweza kuangalia jinsi alivyomshughulikia Khan, Mc Gregor hatafua dafu.

Angalia hapa kwetu Japhet Kaseba alivyotoka kicking box na kujaribu changamoto ya boxing, akina Cheka walikuwa wanamdunda kama ngoma.

Siku zote fighter mzuri hafui dafu kwa boxer mwenye akili za ngumi. Mwangalie Tyson kwa Lenox Lewis ilikuwa ni aibu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]labda anaona Tundu Lissu


Tatizo anataka tujue alitazama live

nYaNi wA KaLe
 
Mfano wako hausadifu, ugali na mboga, sasa huo ni ugali na ugali. Bolt na Bolt, tafuta mfano mwingine

nYaNi wA KaLe
 
Hayo ni mapenzi ya Mungu. Yesu alipumzika kabla ya baba yake mlezi Yusufu. Apangaye kifo ni Mungu pekee. Kama wewe wapenda afe basi tumwachie Mungu asikie kilio chako na akutendee miujiza
Nani kazungumzia kifo?

nYaNi wA KaLe
 
Kwahiyo macho yake ndo yanakimbia??

Siku zote katika maisha kuna mwanzo na mwisho....

Kama Tyson alipigwa mpk akang'ata mtu sikio... Bolt lazima akubali kuna miguu mipya inazaliwa....

Hivyohivyo kwa Messi, Ronaldo, Neymar, Magufuli, Kagame, Mugabe, Museveni, Nkurunzinza, Makonda et el
Haaa!! Heti miguu mipyaaa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It is fair, he has been best sprinter ever without drugs ever. He is the best and his record will stand test of time.

Greatness is determined by your

1) ongevity.
2) How many years your were number one.
3) How many medals you won,
4) How you compete fair on unfair (Example Justin Gatlin compete while he is full of drugs)
5) Lose with magnanimity and decency.

He has done that he is the greatest athletic ever.

= Athlete

Kingereza chako kibovu kinahitaji ukarabati.
 
Tundu Lissu, Mbowe, Lipumba, Zitto, Lowassa... nani mwingine ambaye sijamtaja... Oh kumbe kuna kina Pengo, Malasusa...

Wengine tena... Magonjwa Mtambuka, Asprin.... taja wote uwajuao hakuna atakayebaki mshindi. Wote tutalazwa chini ya tani saba ya udongo hata kama tuna mamlaka gani

Cha msingi tenda wema uende zako...
Ha ha ha, umeanza kuweweseka.
 
Bora angeacha pale alipovunja records,hapa heshima yake imeshuka,usikute huyo mshindi hajavuka records ya bolt sekunde 9 mita 100.

Sent using Jamii Forums mobile app

Humjui Gatlin wewe.. So funga bakuli lako.
Kabla hujamjuwa Bolt basi Gatlin alishakuwa Bingwa...
Fuatilia riadha kisha ndio ubwabwaje
 
BTW! huyo jastin Gatlin.. kashafungiwa almost 2 times kutokana na kutumia zile dawa zilizokatazwa michezon..
So Usain Bolt ataendelea kubak the best tuu
 
Back
Top Bottom