mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Hivi kuna mtu yeyote anaefuatilia Olimpic games na kumuona huyu Usain Bolt anachokifanya?
hivi inawezekana binadaamu wa kawaida akafanya hivi?
yaani mtu akimbie hadi kuamua kukimbia huku anawatazama wenzie tu wasimzidi
nikama vile yuko mazoezini na watoto wa chekechea...
is this normal?
binafsi nakataa kuamini
hasa baada ya kusoma historia ya Carl Lewis....
ambae nae alikuwa anavunja rekodi za kila aina
kumbe alikuwa anatumia drugs na hakuwahi kukamatwa hadi ana staafu
kuna kipindi alishinda shindano la mbio huku aliowashinda wengine saba wote walikuwa wanatumia
madawa.....aliekuja kukamatwa alikuwa Ben Johnson wa Canada....
Karl Leewis alikuwa wa pili huku wengine saba wote ni drugs tupu....
Binafsi naamini Usain Bolt hana tofauti na Lance Armstrong ...
only time will tell.......
Hapana, ni moshi tu wa bangi ule ndiyo unaomsaidia.