Usain Bolt... hatumii madawa?

Usain Bolt... hatumii madawa?

Could be......
ila mimi bado simuamini....
Huyu jamaa mashindano ya kitaifa huwa sio mzuri kunajamaa mmoja anamkimbizaga vibaya.Ila ya kimataifa anamkimbiza hata yule anaemshindaga kwenye level ya kitaifa.hatari sana
 
Ukicheki documentaries za huyu jamaa utagundua kwamba bolt ni tishio kitambo, tangu akiwa shule na miaka 14 tu alikua anakimbiza wenzake kama wamesimama... Sasa kwa mtu mwenye talent kiasi hicho na nidhamu ya kutosha(bila kusahau na urefu wake) kwanini asiendelee kuzikomba hizo gold na kuweka record kwenye olympics?? Swala la madawa ni mpaka itakapothibitishwa na hao wakemia vinginevyo jamaa atakua ni special ama ana mapafu ya cheetah
 
Haya mambo ni mapana zaidi ya tunavyofikiri aisee, ndio maana Marion Jones naye hakuwahi kudhaniwa kutumia haya madawa hadi pale alipokiri mwenyewe. Hata mwendesha baiskeli Hans Armstrong!
Lakini pia nimeangalia mpira wa Nigeria - Germany jana na kuanza kuhisi kuwa huenda kuna dawa au vinginevyo wachezaji wakishafanywa kiwango chao cha uzembe kinaongezeka na kupelekea timu kucheza chini ya kiwango.
Ni nani alijua kuwa kashfa za kutumia madawa zinazopangwa na nchi kama Urusi zingewezekana na hili la kuwa 'disable' wachezaji lishindikane!? Ni muda tu utakuja kutupa ukweli huu.
 
Usain Bolt alipokua mtoto wazazi wake walipata wasiwasi wakampeleka akapimwe kwa daktari kwa sababu alikua active kuliko kawaida! Daktari akawaambia mtoto wenu ana energy kubwa sana mtafutieni vitu vya kufanya. Huyu mtu alizaliwa na hiki kipaji na pia anekifanyia kazi kukiendeleza zaidi.
Pita you tube angalia documentty iliyofanywa na Michael Johnson on Bolt ndio utaelewa kipaji hiki cha kuzaliwa. Akiwa 15 yrs kwa urefu wa 6'2 alikua anakimbia 200metres at 23 seconds! At 19 yrs alipovunja rekodi kule China alikua amerefuka zaidi akiwa 6 feet 5.
Pia kuna mwana kamati za Olympic anaehusika na mambo ya testing, alisema Usain is the most tested of all! Kwa sababu ya hizo doubt amejikuta anapimwa sana! Asingepona kama angekua mtumiaji.
We are witnessing greatness and pure talent from this young man. Lets appreciate and enjoy the moment cause we are witnessing something unbelievably extraordinary and magical.
 
Thanks a lot, kwa maelezo mazuri. Mi bolt namkubali sana na nampenda sana.
 
sijui nani alifichua siri yake.
Nilisoma ripoti ya tukio la Lance Armstrong, kulitokea tofauti kati yake na aliekua anamfanyia hio doping, ndipo akaamuz kuuza file kwa vyombo vya dola. Ndipo uchunguzi ukaanza na Armstrong kuvuliwa mataji yake yote.
 
VeronicaAmadu, asante sana kwa maelezo yako. Sielewi kwa nini watu waone ajabu kwa Usain Bolt kutamba ktk mchezo wa riadha!
Kwa hiyo ina maana hakuna vipaji duniani, mbona marehemu Muhammad Ali alitamba ktk masumbwi kwa miaka mingi tu? Ina maana na yeye alikuwa anatumia madawa ya kumuongezea nguvu ili awashinde wapinzani wake??
Usain Bolt ni mwanariadha hodari kabisa wa mbio fupi kupata kutokea duniani. Huyo ni zawadi ya dunia jamani, tufurahie raha anayoileta ktk mchezo huo.
Nyani Ngabu ameandika ktk uzi huu kuwa kama ni kweli anatumia madawa na pamoja na kuwepo na wanasayansi na vifaa vya kisasa kabisa vya kisayansi, kwamba vyote vimeshindwa kumgundua, basi anastahili medali nyingine hata kumi kwa kuishinda hata sayansi."
Usain Bolt yupo juu na ana nidhamu ya hali ya juu!
Jamaa namkubari sana.
 
Usain Bolt alipokua mtoto wazazi wake walipata wasiwasi wakampeleka akapimwe kwa daktari kwa sababu alikua active kuliko kawaida! Daktari akawaambia mtoto wenu ana energy kubwa sana mtafutieni vitu vya kufanya. Huyu mtu alizaliwa na hiki kipaji na pia anekifanyia kazi kukiendeleza zaidi.
Pita you tube angalia documentty iliyofanywa na Michael Johnson on Bolt ndio utaelewa kipaji hiki cha kuzaliwa. Akiwa 15 yrs kwa urefu wa 6'2 alikua anakimbia 200metres at 23 seconds! At 19 yrs alipovunja rekodi kule China alikua amerefuka zaidi akiwa 6 feet 5.
Pia kuna mwana kamati za Olympic anaehusika na mambo ya testing, alisema Usain is the most tested of all! Kwa sababu ya hizo doubt amejikuta anapimwa sana! Asingepona kama angekua mtumiaji.
We are witnessing greatness and pure talent from this young man. Lets appreciate and enjoy the moment cause we are witnessing something unbelievably extraordinary and magical.
Asante sana bi VeronicaAmadu, Wallah umenikumbusha mikasa ya Willy Gamba na Ahmed Sharrif katika "Njama" RIP A.E. Musiba
 
Mi Bolt ananifurahisha kitu kimoja tu, ni shabiki la kutupwa la Mashetani Wekundu "Man U"

-na kwa sababu mashabiki wengi wa Man U ni Simba damu,bila shaka Bolt nae ni shabiki wa Simba unknowingly.
ni team CR7 pia
 
Usain Bolt alipokua mtoto wazazi wake walipata wasiwasi wakampeleka akapimwe kwa daktari kwa sababu alikua active kuliko kawaida! Daktari akawaambia mtoto wenu ana energy kubwa sana mtafutieni vitu vya kufanya. Huyu mtu alizaliwa na hiki kipaji na pia anekifanyia kazi kukiendeleza zaidi.
Pita you tube angalia documentty iliyofanywa na Michael Johnson on Bolt ndio utaelewa kipaji hiki cha kuzaliwa. Akiwa 15 yrs kwa urefu wa 6'2 alikua anakimbia 200metres at 23 seconds! At 19 yrs alipovunja rekodi kule China alikua amerefuka zaidi akiwa 6 feet 5.
Pia kuna mwana kamati za Olympic anaehusika na mambo ya testing, alisema Usain is the most tested of all! Kwa sababu ya hizo doubt amejikuta anapimwa sana! Asingepona kama angekua mtumiaji.
We are witnessing greatness and pure talent from this young man. Lets appreciate and enjoy the moment cause we are witnessing something unbelievably extraordinary and magical.
Wacha nihame kwa bwana nati (bolt )hili jina lako linanikumbusha mbali sana juu ya wewe bint wa jiji la freetown ndani ya Sierra Leone pamoja na sharrif ilikuwa shughuli pevu.
 
Hata mie nampenda huyo jamaa
Huwa nafurahia kumuona anavyowakimbiza wenzake
Bolt lazima tu umpendee kwa anayoyafanya, labda kije kugundulika kingine ndiyo ntajuta kumpenda, by this time namkubali. I believe in his naturality.
 
The boss unapingana na wanakemia phd Olympics wanaowapima na kila baada ya gemu?tungekwisha sikia zamani usicheze na mzungu.

swissme

The Boss anapingana na kila mtu na kila kitu
 
Hivi kuna mtu yeyote anaefuatilia Olimpic games na kumuona huyu Usain Bolt anachokifanya?

hivi inawezekana binadaamu wa kawaida akafanya hivi?

yaani mtu akimbie hadi kuamua kukimbia huku anawatazama wenzie tu wasimzidi
nikama vile yuko mazoezini na watoto wa chekechea...
is this normal?

binafsi nakataa kuamini

hasa baada ya kusoma historia ya Carl Lewis....
ambae nae alikuwa anavunja rekodi za kila aina
kumbe alikuwa anatumia drugs na hakuwahi kukamatwa hadi ana staafu

kuna kipindi alishinda shindano la mbio huku aliowashinda wengine saba wote walikuwa wanatumia
madawa.....aliekuja kukamatwa alikuwa Ben Johnson wa Canada....
Karl Leewis alikuwa wa pili huku wengine saba wote ni drugs tupu....

Binafsi naamini Usain Bolt hana tofauti na Lance Armstrong ...
only time will tell.......

Ya siasa yamekushinda umeamua kuhamia huku na kuanzisha ugomvi na Bolt
 
Nilisoma ripoti ya tukio la Lance Armstrong, kulitokea tofauti kati yake na aliekua anamfanyia hio doping, ndipo akaamuz kuuza file kwa vyombo vya dola. Ndipo uchunguzi ukaanza na Armstrong kuvuliwa mataji yake yote.

Thanks 4 the info.
 
Kama anatumia madawa basi anastahili medali zingine 10 za dhahabu kwa kuweza kuwashinda wanasayansi vichwa wanaotumiwa na vyombo mbalimbali kuwapima wanamichezo wa mashindano ya Olimpiki!

Mtu tokea 2008 hajakamatwa hata mara moja?

Huyo lazima awe 'genius' flani!

Hususan ukizingatia maendeleo ya sayansi na teknolojia yaliyopo hivi sasa!

Si kwenye World championships si kwenye Olimpiki...yaani jamaa kwa miaka 8 hajakamatwa hata siku moja?
Kuna watu wengine nahisi wana damu ya kutogunduliwa mapema au kuna mbinu fulani wanaitumia dhidi ya sayansi na taratibu zote kwa lengo la kuvuka vikwazo vyote....

Mazoezi anayofanya Usain Bolt sijui anayafanya katika mazingira gani...
 
Hata hivyo, duniani hapa vitu vilivyoweza kugundulika ni chini ya 5% kwa hiyo bado sana kuna kazi kubwa ya kugundua siri (vitu vingi) nyingi alivyotupa Mungu kwa upande mmoja na upande mwingine vinavyotuzunguka.
 
Back
Top Bottom