Usain Bolt alipokua mtoto wazazi wake walipata wasiwasi wakampeleka akapimwe kwa daktari kwa sababu alikua active kuliko kawaida! Daktari akawaambia mtoto wenu ana energy kubwa sana mtafutieni vitu vya kufanya. Huyu mtu alizaliwa na hiki kipaji na pia anekifanyia kazi kukiendeleza zaidi.
Pita you tube angalia documentty iliyofanywa na Michael Johnson on Bolt ndio utaelewa kipaji hiki cha kuzaliwa. Akiwa 15 yrs kwa urefu wa 6'2 alikua anakimbia 200metres at 23 seconds! At 19 yrs alipovunja rekodi kule China alikua amerefuka zaidi akiwa 6 feet 5.
Pia kuna mwana kamati za Olympic anaehusika na mambo ya testing, alisema Usain is the most tested of all! Kwa sababu ya hizo doubt amejikuta anapimwa sana! Asingepona kama angekua mtumiaji.
We are witnessing greatness and pure talent from this young man. Lets appreciate and enjoy the moment cause we are witnessing something unbelievably extraordinary and magical.