Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hapa naona dalili za ubaguzi wa rangi, Usain Bolt anasakamwa kwa sababu ni mweusi lakini watu kama huyo Phelps na Spitz hawajawahi kushutumiwa.
Ubaguzi wa rangi?
Sidhani.
Sidhani kwa sababu hofu alizozielezea The Boss ni halali.
Kuna wanamichezo wengi tu ambao washakamatwa wakitumia madawa - weupe kwa weusi.