Usain Bolt... hatumii madawa?

Usain Bolt... hatumii madawa?

Hapa naona dalili za ubaguzi wa rangi, Usain Bolt anasakamwa kwa sababu ni mweusi lakini watu kama huyo Phelps na Spitz hawajawahi kushutumiwa.

Ubaguzi wa rangi?

Sidhani.

Sidhani kwa sababu hofu alizozielezea The Boss ni halali.

Kuna wanamichezo wengi tu ambao washakamatwa wakitumia madawa - weupe kwa weusi.
 
d4c48d76c70bd3d9284b093e20ddaece.jpg
 
Yo Yo Yo,, this dude is super fast. Its that simple! Afu ana mahatua balaa! Mwanzo wa mbio anakuwa slow, ila after 60m anakuwa ktkt speed ambayo wengi wanaota tu kuifikia. Afterwards anafanya ku-cruise tu, effortlessly... Mpaka anageuka kupiga selfie. Lets stop and appreciate
 
Hivi kuna mtu yeyote anaefuatilia Olimpic games na kumuona huyu Usain Bolt anachokifanya?

hivi inawezekana binadaamu wa kawaida akafanya hivi?

yaani mtu akimbie hadi kuamua kukimbia huku anawatazama wenzie tu wasimzidi
nikama vile yuko mazoezini na watoto wa chekechea...
is this normal?

binafsi nakataa kuamini

hasa baada ya kusoma historia ya Carl Lewis....
ambae nae alikuwa anavunja rekodi za kila aina
kumbe alikuwa anatumia drugs na hakuwahi kukamatwa hadi ana staafu

kuna kipindi alishinda shindano la mbio huku aliowashinda wengine saba wote walikuwa wanatumia
madawa.....aliekuja kukamatwa alikuwa Ben Johnson wa Canada....
Karl Leewis alikuwa wa pili huku wengine saba wote ni drugs tupu....

Binafsi naamini Usain Bolt hana tofauti na Lance Armstrong ...
only time will tell.......
Mi kwakweli hata kama anatumia madawa... Naona anayatendea haki kabisaaaa...
 
Jamani jamaa miguu yake mirefu inamsaidia akipiga hatua moja ni sawa na mbili za mpinzani wake
 
Huyu jamaa ni noma sana. Nampa saluti hadi pale itakapothibtishwa tofauti.
 
..

Binafsi naamini Usain Bolt hana tofauti na Lance Armstrong ...
only time will tell.......
he is innocent till proven otherwise....Endelea kuamini ni msafi mpaka idhibitishwe sivyo,,,,,
 
Hivi kuna mtu yeyote anaefuatilia Olimpic games na kumuona huyu Usain Bolt anachokifanya?

hivi inawezekana binadaamu wa kawaida akafanya hivi?

yaani mtu akimbie hadi kuamua kukimbia huku anawatazama wenzie tu wasimzidi
nikama vile yuko mazoezini na watoto wa chekechea...
is this normal?

binafsi nakataa kuamini

hasa baada ya kusoma historia ya Carl Lewis....
ambae nae alikuwa anavunja rekodi za kila aina
kumbe alikuwa anatumia drugs na hakuwahi kukamatwa hadi ana staafu

kuna kipindi alishinda shindano la mbio huku aliowashinda wengine saba wote walikuwa wanatumia
madawa.....aliekuja kukamatwa alikuwa Ben Johnson wa Canada....
Karl Leewis alikuwa wa pili huku wengine saba wote ni drugs tupu....

Binafsi naamini Usain Bolt hana tofauti na Lance Armstrong ...
only time will tell.......
Usain Bolt just happens to be a freak of nature
 
Uko sawa. Mario johnson mpaka baadae nae ndipo akajulikana ametumia dawa. Urusi serikali ilikuwa inawapa dawa wanariadha wao kwa siri...mambo yatakuja julikana
nadhani ulimaanisha Marion Jones,huyu mwanamama ndiye aliyenifanya nipende Track and Field kwa upande wa kina dada..
 
Acha ujinga wewe. Bolt ni kipaji halisi. Au washangaa hujui kuna uhusiano wa michezo na mtu mweusi??? Wazungu wenyewe wanakiri kuna uhusiano wa mtu mweusi na michezo. Baadhi ya michezo ambayo mtu mweusi haongozi ni kutokana na kutokuwa na utashi nayo. Mfano mashindano ya kuogelea, gymnastics, n.k, inafanywa vema na whites kwa sababu tu ya watu weusi kutokua na utashi nayo.
Kwa wazungu wasivyotupenda angekua ameshanaswa kama ishu ni madawa. The guy is peculiar runner.
 
Mfano mashindano ya kuogelea, gymnastics, n.k, inafanywa vema na whites kwa sababu tu ya watu weusi kutokua na utashi nayo.

Mwambie hivyo Simone Biles...mwambie hivyo Dominique 'Awesome Dawesome' Dawes....mwambie hivyo Gabby Douglas...mwambie hivyo Simone Manuel...

Michezo na umahiri haina rangi. Ni juhudi, bidii, kipawa, na maandalizi tu.
 
Hivi hata "mmea" a.k.a ganja hairuhusiwi kwa hawa wana Olympic ?
 
Usain Bolt hataki kuharibu rekodi yake nzuri.

Pia ana mkataba na Puma tangu mwaka 2002 aliposhinda mbio za mita 200 kwa mara ya kwanza. utaona hapo Puma waliona kitu- potential.

Wadhamini wengine wa Usain Bolt ni kampuni za Gatorade, Virgin Media, na walala wake anaitwa PACE sports management.

Usain Bolt alitoa kitabu kinachoelezea maisha yake mwaka 2010 kinachoitwa "My Story: 9.58: Being the World's Fastest Man", humo ameeleza undani wa hizo mbio zake.

Hivyo ukiangalia sana utaona kwamba ni kijana anaechunga sana mkate wake ambao unaelekea kumpatia utajiri usoelezeka.

Anaonekana hatafanya yale ya kama Johnson.
 
The boss unapingana na wanakemia phd Olympics wanaowapima na kila baada ya gemu?tungekwisha sikia zamani usicheze na mzungu.

swissme

Ni haki yake kuwa na doubt kuhusu Usain Bolt tena kwa kufananisha mafanikio ya Lance Armstrong.
Lance Armstrong alikuwa anapimwa lakini bado aliwachomoka jamaa.
 
Back
Top Bottom