Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Habari wadau,
Nina maswali haya kuhusu usajili huu:
1. Ni idadi gani ya wachezaji inaruhusiwa kusajili kupitia dirisha dogo?
2. Wachezaji wa kimataifa watakaosajiliwa kupitia usajili huu, wataruhusiwa kucheza katika ligi za ndani?
3. Inawezekana kununua mchezaji ambaye bado ana mkataba na timu yake mradi tu timu husika zimefikia makubaliano?
Naombeni majibu wadau na hata elimu ya ziada kuhusu huu usajili unaolenga kuimarisha timu zilizoko kwenye mashindano.