Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Idadi inategemea na kanuni na sheria za mashindano husika kwa mfano wachezaji wa kigeni wana ukomo wake kwenye team zinazoshiriki NBC premier league ila kwenye Caf champions league ni tofauti.Habari wadau,
Nina maswali haya kuhusu usajili huu:
1. Ni idadi gani ya wachezaji inaruhusiwa kusajili kupitia dirisha dogo?
2. Wachezaji wa kimataifa watakaosajiliwa kupitia usajili huu, wataruhusiwa kucheza katika ligi za ndani?
3. Inawezekana kununua mchezaji ambaye bado ana mkataba na timu yake mradi tu timu husika zimefikia makubaliano?
Naombeni majibu wadau na hata elimu ya ziada kuhusu huu usajili unaolenga kuimarisha timu zilizoko kwenye mashindano.
Thanks a lot !Idadi inategemea na kanuni na sheria za mashindano husika kwa mfano wachezaji wa kigeni wana ukomo wake kwenye team zinazoshiriki NBC premier league ila kwenye Caf champions league ni tofauti.
Wachezaji wanaoruhusiwa kushiriki Caf champions league kwenye usajili wa dirisha dogo ni wale ambao hawajatumika kwenye michuano hyo ila kwenye league wanaweza kutumika kama team haijatimiza idadi hyo.
Kwenye Caf champions league hata ukitumia wachezaji wote wa kigeni ni uamuzi wako ila kwenye league kuna kikomo hivyo vigezo na masharti kuzingatiwa.
Kwa hiyo unaweza kuongeza Wachezaji 6 dirisha dogo na wote wakaruhisiwa kucheza?Idadi inategemea na kanuni na sheria za mashindano husika kwa mfano wachezaji wa kigeni wana ukomo wake kwenye team zinazoshiriki NBC premier league ila kwenye Caf champions league ni tofauti.
Wachezaji wanaoruhusiwa kushiriki Caf champions league kwenye usajili wa dirisha dogo ni wale ambao hawajatumika kwenye michuano hyo ila kwenye league wanaweza kutumika kama team haijatimiza idadi hyo.
Kwenye Caf champions league hata ukitumia wachezaji wote wa kigeni ni uamuzi wako ila kwenye league kuna kikomo hivyo vigezo na masharti kuzingatiwa.
Wakaruhusiwa kucheza wapi NBC premier league au Caf champions league?Kwa hiyo unaweza kuongeza Wachezaji 6 dirisha dogo na wote wakaruhisiwa kucheza?