Usajili huu unaofanywa na Simba ni mapendekezo ya kocha gani? Ni uhuni na kukosa weledi, wamechanganyikiwa

Binafsi mimi ni shabiki wa Yanga.

Ila kwa Simba naona hawana namna zaidi ya kuendelea na usajili bila kocha. Process ya usajili ni ya muda mrefu sio siku mbili tatu. Yawezekana ni mapendekezo ya muda mrefu ya Pablo ndio wanafanyia kazi.

Mleta mada unajua mwisho wa kupeleka majina CAF ni mwezi huu? Wasubirie kocha mpya wakati naye bado wanamtafuta? Hata akija na ligi inaenda mwisho ataweza kukisoma kikosi kwa muda mfupi na kuwezesha sajili?
 
Tunajua mwisho ni tarehe 30.
Lakini hiki sio kisingizio kabisa kwa sababu kwani wameanza kufanya hivi leo tu? Wameanza Zamani sana, pablo aliwataka vipi wachezaji kati kati ya msimu wapi huko?

Tena CAF msimu huu ndio wameshtukiza tu kwamba imekuwa mapema majina kuwasilishwa simba ni wahuni.
 
Nyinyi ambao Kocha ndie anasajili na anasikilizwa kwa kila kitu mmewahi fika wapi huko Caf champions league??
Cheki huyu
Unaleta ushabiki wa vijiweni huko kwenu.
Mafanikio ni kuchukua makombe basi huko CAf simba ana kombe gani au lile la ranks?
 
Punguz huo utopolo kwanza nataka nikuulize swali je wale wachezaji waliopo ni pendekezo la kocha jibu ni hapana na je kama ni hivyo kocha mpya anapokuja afukuze wachezaji aanze upya? La hasha! Jibu ni hapana kwa hy ww kaa kwa kutulia
 
Ukiwaambia wanakasirika halafu kocha anaambiwa eti malengo yetu utufikishe nusu fainali CAFCL!
 
Punguz huo utopolo kwanza nataka nikuulize swali je wale wachezaji waliopo ni pendekezo la kocha jibu ni hapana na je kama ni hivyo kocha mpya anapokuja afukuze wachezaji aanze upya? La hasha!
Kiufupi hujaelewa umekurupuka team lazima iwe na wachezaji waandamizi ndo maana pale Bayern kila kocha kija anawakuta kina Muller na neuer na anaawacha..

Hujaelewa
 
Kiufupi ni Madudu matupu yanapaswa kurekebishwa kwa namna kubwa simba wwanajinasibu kwamba wao ni proffesional ,je kwa namna hii au?

Eti kocha akija anaambiwa"wachezaji wetu hawa hapa huyu mwamba wa lusaka usimnyime namba"

Pia"tunataka utufikishe CAFCL final"..!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani hao simba hawana bodi au idara ya ufundi????

Na we we ndiye mtaalamu wa soka mbona hujafafanua kuhusu wajibu wa hizo idara?? Na he miaka SSC inafanya vizuri Mani alikuwa msajili wa wachezaji???

Msijifanye wajuaje kwa kuandika utumbo wenu je uliuliza mapendekezo gani aliacha?? Na je mapendekezo yake yataendana na mfumo atakaouleta kocha mpya ??? Naomba ungejikita katika maeneo hayo yote
 
Wachezaji hawasajiliwi na kocha mkuu pekee
Kuna benchi la ufundi
Timu zote ziko hivyo
 
Itoshe tu kusema Utopolo achaneni na mambo ya Simba.
 

Attachments

  • FB_IMG_1655579378566.jpg
    31.8 KB · Views: 4
Ni ngumu sana mkuu, halafu ukizingatia ni maandalizi ya mwanzo kabisa wa msimu.

Huvi wameshindwa nini kutafuta kocha kwanza.!!
 
Wakati mwingine ni sahihi Maana hawa makocha nao wakati mwingine hawaaminiki .
Yanga ilimpa mwinyi zahera mamlaka ya kusajili akaenda kuzoa hakina Kindoki , papaa molinga n.k. Matokeo yake kila mmoja anajua kilichoipata Yanga .
 
Itaje bajeti aliyopewa Nabi ya usajili ili tupime kama huo usajili ni pendekezo lake. Klabu za kibongo ikiwemo yanga yako zinaenda hivyo hivyo husishupaze sana shingo kwa simba.
 
Mapendekezo ya Kocha Barbra.
 
Wakati mwingine ni sahihi Maana hawa makocha nao wakati mwingine hawaaminiki .
Yanga ilimpa mwinyi zahera mamlaka ya kusajili akaenda kuzoa hakina Kindoki , papaa molinga n.k. Matokeo yake kila mmoja anajua kilichoipata Yanga .
Nilishangaa Yanga ilipomrudisha Zahera kama Mkurugenzi wa ufundi. Usajili wa Molinga na Kindoki ulitosha kumpa mkono wa Kwa Heri daima.
 
Hizi timu mbili Simba na yanga ni Kama wanakaa meza moja kufanya mambo .
Nina wasiwasi Wana makubaliano yao kuwa wewe tawala misimu kadhaa na Mimi ntakupokea misimu kadhaa ni kama biashara fulani ivi, maana haiwezekani timu km ya Simba ambayo imefika mbali ianze kuporomoka gafla na kuja na mbinu zile zile ambazo ziliwaferisha watani zao yanga misimu kadhaaa.

Mtu lazima upate mashaka kidogo ,inawezekana vipi kwenye usajir ukaacha kusajir wachezaji wa maana na kusajir mchezaji mmoja chama na huku ukiwategemea akina nyoni ,bocco, Gadiel ,mhilu,mwanuke ,kagere ,mugalu eti wakufikishe nusu final shirikisho!!

Why makosa Yale Yale yaendelee kujirudia msimu na msimu .
Ivi hapo Simba kitengo Cha kusajir kipoje au kila kiongozi analeta mchezaji wake.

Za chini chini inasemekana matola anapambana Sana Wawa na bocco na mugalu wabakie msimu ujao maana Ana kamisheni zake toka kwa hao jamaa ,je huu ndio mpira wa kufika mbali?

Niwe mkweli tu hata msimu ujao naiona Simba ikikosa ubingwa na kufanya vibaya club bingwa maana uswahili na ubahili plus upigaji vimetawala hapo msimbazi.

Tunakosa hata nguvu za kwenda viwanjan sabab ya huu ujinga wa wazwaz.pia Simba haijifunz tu kuwa safar hii timu ni za Moto Sana Hakuna urahis hata kidogo ,Ila acha iwe hivyo nadhan viongozi wanatamani siku moja waje washikiwe mabango au kupigwa mayai viza na mashabik ndipo wataelewa uchungu na maumivu wanayopata mashabiki.

Hamna pesa semeni mashabiki wachangie ,lengo timu iwe imara tu acheni blabla

Hizi 10percent zikikomeshwa nadhani tutaenda sawa kabisa ,Kuna viongozi hapo Simba wanapaswa kuchungwa kwa jicho Kali Sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…