USAJILI:-Kibabage aungana na Msuva Morocco

USAJILI:-Kibabage aungana na Msuva Morocco

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Mchezaji wa Mtibwa Sugar ya mkoani Morogoro Nickson Kibabage amesaini mkataba wa miaka minne kuichezea klabu ya Difaa El Jadida ya Morocco.Kibabage anaungana na Simon Msuva katika klabu hiyo.
1128704
 
Hongera zake! Miaka minne si mchezo. Watakuwa wamejiridhisha pasipo na shaka ya kwamba dogo atakidhi mahitaji ya timu.
 
Hongera Kibabage " Class of 17"
Ally Nga'anzi yupo USA,Mkomola yupo Ukraine,
Atleast mkajae jae huko kunakoeleweka
Yule mwingine msimu ujao atacheza kwenye Uwanja wa Sokoine unaofanana na shamba la viazi
 
Hongera kwa Raisi JPM kawafundisha vijana kutafuta fursa nje ya nchi
 
Back
Top Bottom